Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Tunajifunzaje sasa kujiamini?I gree with you, confidence is more important than education. Nafuatilia ha matangazo mubashara.. Kiukweli huyu bwana katia haibu, ety kajitetea macho yanamsumbua ina maana hajui kuwa anatatizo LA macho akajisave na mawani..
Kuna mama mmoja ye anaongelea ulimini yeye kila mda "Anasema balaza la mpinduzi badala la mawaziri" katia haibu sana mpaka mawaziri wenzie wamemcheka..
Tujifunze kujiamini jamani.. Kijiamini kunaleta Uhuru wa maisha