King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hawa USSR ndio anasema Akili kubwa zilizoteuliwa na Rais.Ashapigwa chini aisee. Inabidi wawe wanafanyiwa vetting Kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa USSR ndio anasema Akili kubwa zilizoteuliwa na Rais.Ashapigwa chini aisee. Inabidi wawe wanafanyiwa vetting Kali sana
Dahh... Jamaa kakosa kazi hivi hivi. Anateuliwa Naibu Waziri Mwingine. Anabaki na Ubunge Pekee.Kama mutaweza kutuwekea clip itakuwa bora kwa sisi wengine. Maana hatukuona na sijui kama watarudia kuonesha.
Aibu umeenda na mke wako na familiaHahaha huyo imekula kwake mkulu kasema abaki kuwa mbunge tu nafasi hiyo atapewa mtu mwingine na degree yake wataicheki upya
SanaMwenda zake naibu waziri anabaki na ubunge
Niwa chama gani?Hii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"...
Ndiyo Ukweli WenyeweAibu umeenda na make wako na familia
Dahh..... Mbaya sana hii. Haijakaa vizuri.Serikali Ya Viwanda Imetamka Inaifuatilia Masters Yake Kujua Ukweli Na Kushindwa Kusoma Vema Kiapo
Ana MSc. FinanceMagu hapo nampa kongole, hatuwezi kuwa na waziri ambaye hata kuji commit mbele ya mteuzi wake kashindwa
Baba jesca kasema atamteua mwingineHii imetokea leo ambapo naibu waziri Fransis Ndulano alishindwa kusoma vizuri hati ya kiapo akapewa nafasi ya kurudia bado akawa anakwamakwama hadi akaambiwa akakae kwenye kiti chake. Sijui ataapa siku yingine au ndio kibarua kimeota nyasi. Sasa sijui ni uoga au wamemroga.
Fundisho:
Tuwafundishe watoto wetu kujiamini pamoja na elimu walizo nazo confidence ni muhimu.
ST SWAHILI ingia huko tamthilia tuMimi haya mambo ya kutuvizia siku tuko mapumziko ndo utumie vyombo vyote vya habari sipendi aisee. Atumie channel ten na TBC. Alaf hii awamu inaonenakana itakua ni ya kiki. Yaani kila siku TV, redio na magazeti tutakua tunaona....mara Rais kafanya hiki....mara Waziri....mara Mkuu wa Mkoa. Yaani hawa jamaa hawatuacha aiseee
Ana MSc. Finance
Kama utani tuBaba jesca kasema atamteua mwingine
Duh......nampa pole sana.Amefutwa Kazi Tayari Kwenye Nafasi Iliyomshinda