one one
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 332
- 372
Wakati mwingine kutoambatana na familia mara kwa mara kunaokoa jahazi.Aibu umeenda na mke wako na familia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mwingine kutoambatana na familia mara kwa mara kunaokoa jahazi.Aibu umeenda na mke wako na familia
Ubunge wa kuteuliwa yule.Kwa Mwanasiasa mkongwe mpaka kufika level ya kugombea ubunge sidhani kama ana hiyo shida ,huyo atakuwa kapigwa KIPAPAI na KIGWAX_NJE_YA_BOX.
Hivi yule mbunge mstaafu Bwege anatoka jimbo gani?Kwa Mwanasiasa mkongwe mpaka kufika level ya kugombea ubunge sidhani kama ana hiyo shida ,huyo atakuwa kapigwa KIPAPAI na KIGWAX_NJE_YA_BOX.
Hahaha!Wakati mwingine kutoambatana na familia mara kwa mara kunaokoa jahazi.
Ni wizara ya fedha sio madiniNaibu waziri wa madini
Hahahahaahaa KILWA KUSINI,We ulisikia wapi? Atakuwa Kigwax kafanya yake.Hivi yule mbunge mstaafu Bwege anatoka jimbo gani?
Yuko bize na Mo DewjiKigwa bado yuko tungurini!
Ni mwana mamaHuyu aliyemroga kampatia
Sijui atamwambia nini mkewe
Waanze na kina nani ? hapo kuna watu walifanya vetting ambao huwezi kuwachunguza wanaogopekaPCCB Waanze Nao Hao
CC yako ipo juu!😀😀Huyo atakuwa alipatwa na WENGE au Alipagawa au Aliashikwa na KITETE kikamuondolea confidence!! Swala la kutoona ni uongo mtupu! Maana maneno ni yale yale hata usiposoma utayakariri "MImi Francis NGUMALU naapa kwamba nitakuwa mtiifu kwa jamhuri ya muungano wa tanzania na sitotoa siri za baraza la mawaziri ehee mwwnyezi mungu nisaidie" hapo inahitaji kusoma kweli???
Duuh hiyo ni changamoto nyingineAlishindwa ubunge kura za maoni dhidi ya Murtaza Mangungo huko Kilwa Kaskazini...... CC ya chama ikamkata Murtaza ikampa hiyo aliyepata kura chache mnoo....
Leo ameshindwa kuapa....amezoea vya kupewa basi asiape awe tu waziri