Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Huyu akienda gerezani anatatuliwa malinda tena hadharani
 
Hii sasa ni kali.

Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"

Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.

Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!

Maendeleo hayana vyama!
Ok walio karibu na jpm mwambieni naitaka iyo nafasi nikaponye taifa,
Ila li v8 ,mshahara unaozidi ml 4, nyumba ya serikali, posho zaidi ya laki nne sitaki, hivyo hata kutumbuliwa kwa mda wowote sintotaka,
Hii sasa ni kali.

Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"

Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.

Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!

Maendeleo hayana vyama!
 
Alishindwa ubunge kura za maoni dhidi ya Murtaza Mangungo huko Kilwa Kaskazini...... CC ya chama ikamkata Murtaza ikampa hiyo aliyepata kura chache mnoo....
Leo ameshindwa kuapa....amezoea vya kupewa basi asiape awe tu waziri
H a hahahaa au Murtaza kafanya yake
 
Nasikia wateule wa rais huwa wanafanyiwa vetting ya hali ha juu.

Nani huwa anamfanyia rais vetting? Mpaka anampa majina ya watu ambayo hawawezi hata kusoma kiapo na kutamka!

Hawa watu mbona kama wamemtia doa mkuu wa nchi, maana sijawahi kushuhudia mtu akitumbuliwa kwa kushindwa kusoma kiapo na kutamka!

Hii inaleta picha gani? Kuwa kama ni kweli kwamba watu wanaomfanyia vetting mkuu wa nchi hawako makini mpaka wanampa majina ya watu ambao wanashindwa kuapa!

Au ni mambo ya kijamii yameitawala Tanzania,ndio maana watu wengi wenye IQ kubwa huwezi kuwakuta kuwa ni viongozi?

Inasikitisha sana kwa Taifa ambalo linajinasibu kuwa ni moja ya taifa kubwa hapa Afrika mashariki, waziri mdogo anashindwa hata kusoma na kula kiapo. Nafikiri maneno aliyosema Askofu Rashid kuwa wengi wa wabunge wa CCM walipita kwa mgongo wa kiongozi wao wa chama,sababu 70% walikuwa hawana uwezo na hata kukubalika ilikuwa ni kwa mashaka

Kwa ujumla aliyeshindwa kuapa na aliyemtumbua wote wameaibika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu kama huyo hata mkewe anaweza kumpa adhabu ya kumnyima unyumba wiki mwaka mzima,

Huyu mwanaume mwenzetu kayumba sana
 
Nimepata taarifa mwezi ujao.
Twiga cement wanaweza wakafunga kiwanda kwa ajili ya matengenezo.
Serikali imejiandaaje na uhaba wa cement kuwapunguzia watu mateso ya kutafuta cement .?
WANYONGE KAZI MNAYO
 
Sasa jomba hi inatuhusu Nini sisi..hatujui JPM alimtoa wapi hatujui alikuwa wapi kabla na wala hatujui ana elimu gani..kwa maana hiyo Wala hatuwezi jadili hi kitu..mambo ya Ndani fullstop
 
Hii sasa ni kali.

Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"

Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.

Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!

Maendeleo hayana vyama!
Madhara ya kubebwa bebwa wakati hakuna kitu kichwani,mtu ana masters?anatetemeka hata kusoma kiswahili,sasa debate za sekondari ulikuwa unafanyaje,projects za chuo kikuu,ulikuwa unawasilisha vipi?na hiyo masters yako umeipata vp?
 
Back
Top Bottom