Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipapai usikute wabongo nyoko sanaInawezekana hakujiamini tu, angefanya rehearsal kama ana shida hiyo na labda angemwona mwanasaikolojia na kumwomba Mungu.
Hakutarajia kuwa atapata cheo hichoYaani huyo jamaa amechemsha hadi akaambiwa akaketi!
Hivi vyeo vingine vya "kupewa" ndiyo matatizo yake
Ok walio karibu na jpm mwambieni naitaka iyo nafasi nikaponye taifa,Hii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.
Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!
Maendeleo hayana vyama!
Hii sasa ni kali.

Jamaa ana Masters ya finance!Atakuwa aidha ni kihiyo au ana ugonjwa wa macho. Yote hayo yanamfanya kuwa si mtu sahihi wa kuchunga madini yetu yasiendelee kuporwa na wajanja.
H a hahahaa au Murtaza kafanya yakeAlishindwa ubunge kura za maoni dhidi ya Murtaza Mangungo huko Kilwa Kaskazini...... CC ya chama ikamkata Murtaza ikampa hiyo aliyepata kura chache mnoo....
Leo ameshindwa kuapa....amezoea vya kupewa basi asiape awe tu waziri
Utawala una tatizo gani?
Mtu kushindwa kusoma na utawala wapi na wapi?Dhulma iliyofanya .malipo Ni hapa hapa duniani.
Na huu ni mwanzo tu.
Madhara ya kubebwa bebwa wakati hakuna kitu kichwani,mtu ana masters?anatetemeka hata kusoma kiswahili,sasa debate za sekondari ulikuwa unafanyaje,projects za chuo kikuu,ulikuwa unawasilisha vipi?na hiyo masters yako umeipata vp?Hii sasa ni kali.