Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kwa nini tena kuhoji elimu yake na kumtumbua? Kwa nini asipewe muda ili aape tena?Hivi unadhani jamaa hajui kusoma? Mbona aliapa bungeni?..yaliyotokea ni mambo ya kibinadamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini tena kuhoji elimu yake na kumtumbua? Kwa nini asipewe muda ili aape tena?Hivi unadhani jamaa hajui kusoma? Mbona aliapa bungeni?..yaliyotokea ni mambo ya kibinadamu
Hahaha! Unamkumbuka Kitwanga?Mnaambiwa vuteni bangi hamtaki.
Angesokota na kupuliza moja angeapa bila kuchechemea!
Kuna miamba kule chuo walikuwa hawaendi presentation bila kusokota na kupuliza kwa kuhofia mambo kama haya.
Bangi umeshindwa basi hata K-Vant?
Huyo ndo Magufuli bana..Kwa nini tena kuhoji elimu yake na kumtumbua? Kwa nini asipewe muda ili aape tena?
Mbunge huyoKama kashindwa kuapa tu basi akajiajiri asitegemee uwaziri tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha! Unamkumbuka Kitwanga?
Sijakuelewa..eleza facts zinazohusiana andikobabeli umeanguka mji ule uliomkuu mama wa makahaba machukizo ya nchi
Huyo Naibu Waziri anaweza pia kurekebisha utamkaji wake akasoma vizuri atakapotuliaHii nilisharekebisha kitambo bila kuambiwa.. Binafsi kiswahili ni lugha yangu na naipenda..
Angalia vizuri huko juu na nilirekebisha mda gani..!!
Aisee tutapata theories nyingi sanaIsije ikawa aliuza roho yake so ,kutaja jina la Mungu kwa biblia ikamuwia vigumu, akapata ububu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza kufukua ya nyuma.
Ngoja nikuwekee clipHuyu jamaa bungeni aliapaje? Ningepata clip yake ningeelewa zaidi......pamoja na uoga ila jamaa inawezekana pia mambo ya kitamaduni yamehusika
Toyota LandCruiser LC 200 V8 VX-RYaaan kirahis tyuuuh kakosa shangingi na mafwedha, uwiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia haiko fair wallah
Bungeni aliapaje kama hajui kusoma?. Kalogwa tu.Hajui kusoma
Sina hakika na majibu yangu.Jibu umeshalijibu tayari
Kipapai bila chengaNashangaa aliweza kuapa mbele ya ndugai ubunge vipi kashindwa hapo ndio ujue uchawi upo
Saikolojia gani?Tatizo la watu wenye akili finyu huwa wanalaum tu, yaani umesahau kabisa kua kuna mambo ya kisaikolojia yanayoweza kua yamesababisha haya kutokea
Ha haha inawezekana karogwa kweliBungeni aliapaje kama hajui kusoma?. Kalogwa tu.
Habari za kuwa Ccm haikushinda zinatoka wapi?Ya nyuma yapi?