Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa mkuu!Huwezi tengeneza tukio kama hili,hii ni fedheha kubwa sana kwa taifa letu. Tukio kama hili huwa linatazamwa dunia nzima.
Kitete kwani ndio mara yake ya kwanza kuapa?Hakuna uchawi hapo,jamaa kitete na uoga vimezidi sasa anatafuta visingizio.
Upendo una nguvu ambazo chuki haikupi.Na Ndo mana mwarabu mmoja alikuwa na uwezo wa kuswaga kundi la mbanga 300 kutoka tabora mpaka bagamoyo zikiwa ndani ya minyororo.
Tena kwa Unaa unakuta njiani zinajipendekeza kwasasbu "Maandiko" ndivo yalivowafundisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unathibitisha vipi kama ni nguvu za giza mkuu?Kitete kwani ndio mara yake ya kwanza kuapa?
Ameapa akiwa DED, ameapa akiwa mbunge nk!
Kumbuka alishaapa bungeni, pili aliwahi kuwa Mhasibu wa Tanroads Lindi, tatu alikuwa mkurugenzi wa Wilaya.Et inasemekana hajui vizuri kusoma
Offcourse yeye ni binadamu sio mnyama au reptiliyaHivi unadhani jamaa hajui kusoma? Mbona aliapa bungeni?..yaliyotokea ni mambo ya kibinadamu
Huyu siyo wa kwanza kutoka Lindi anafanyiwa ndumba za namna hii.Unathibitisha vipi kama ni nguvu za giza mkuu?
Na naona sasa hivi ndio imekuwa habari ya mjini vipapai vya aina hii.Hili zengwe, kapigwa kipapai, hukuona yule mgombea udiwani wa posta alikiwa anashindwa kutamka maneno yake, mapka akasema hii uchawi
Nimekuelewa mkuu!Uchawi unapenya hata makanisani na misikitini kwahyo usishangae hapo ,usione watu wamekaa na suti zao,wanatunguli zao mfukoni zinapumua tu.
Unajuaje ni nguvu za giza na si mtu ana matatizo ya macho anahitaji miwani tu?Labda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.
Ngoja niwakumbushe;
Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.
Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.
Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Maendeleo hayana vyama!
Hapa kazi tu... pale nguvu ya pombe inapotumika kuliangamiza taifa kwa kisingizio cha maendeleo hewaLabda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.