Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

huwezi kukuta "SHEIKH PONDA au ASKOFU MWAMAKULA au ASKOFU BAGONZA" amealikwa kwenye hafla za serikali maana muda wowote kwenye hio hafla wanaweza "KUCHOMOA BETRI"
Viongozi wa chama cha upinzani hawawezi kualikwa kwenye shughuli ya serikali inayoongozwa na chama kingine. Labda mwenyekiti wa chadema ndiye angweza kualikwa, lakini siyo wafurukutwa wa kawaida kama hao ☝🏿
 
haya ndio matatizo ya kutegemea NGUVU ZA GIZA, viongozi walio wengi hawajiamini bila nguvu ya giza lkn mwishowe ni aibu na fedheha, tubadilike tuwe kama wazungu amabo hawana muda wa kubeba hirizi wala dawa za kienyeji.....tuachane na mambo haya ya kale ymepotwa na wakati, watanzania tuachane na tabia hizi
 
There are people fully committed to work with the devil. They have made a pact with him, in order to become successful.
Nobody can help in that situation. Unfortunately wengi wetu, mchana ni wafuata dino, usiku ni wanga wa kufa mtu
Nimekuelewa mkuu!
 
Nguvu za giza ni nini?

Unaweza kuzi define na kuthibitisha zipo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za danganya toto tu?
Nguvu za giza na uchawi zinazungumzwa kwenye Biblia..... Kajifunze.

Wachawi wa Farao pale Misri......Simon mchawi kule Yudea nk!
 
Hizi nafasi za kiserekali na vyeo vyake huwa ni shida sana ndugu zanguni sitaki kusema lolote hapa juu ya yaliyomkuta mzee wangu wakati huo infact ili ukae ndani ya vyeo hivi ni lazima Elimu iwepo kulia kwako na shetani awepo kushoto kwako ndio usimame kwa uimara hasa kwa nchi zetu za kiafrika kwenda kanisani au lolote lile huwa ni zuga tu #FACT MUST TOLD
 
Wote uliwaona jana wamepitia kwa waganga hakuna asiyekuwa na waganga, sema huyo kazidiwa kidogo
 
Dunia duara ukifikiri Sana utalia kila Mara, mheshimiwa Ndulane amekuwa mhasibu Tanroads zaidi ya miaka 10, amekuwa mkurugenzi wa mji wa ifakara, amekuwa Kiongozi wa mpira Lindi na Morogoro, amekuwa mjumbe wa TFF ktk kamati ya fedha na uongozi na amesafiri na Taifa Stars zaidi ya Mara 4,leo ameshindwa kuapa kurasa moja,hii ndiyo Dunia,tunatakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kumhukumu
Kalambwa kipapai hakuna namna
 
haya ndio matatizo ya kutegemea NGUVU ZA GIZA, viongozi walio wengi hawajiamini bila nguvu ya giza lkn mwishowe ni aibu na fedheha, tubadilike tuwe kama wazungu amabo hawana muda wa kubeba hirizi wala dawa za kienyeji.....tuachane na mambo haya ya kale ymepotwa na wakati, watanzania tuachane na tabia hizi
CCM wote wanategemea nguvu za giza
 
Tanzania viongozi wa dini wote wanao alikwa kwenye shughuli za kiserikali basi huwa ni "WATAPIA TUMBO na MARAFIKI WA SHETANI", huwezi kukuta "SHEIKH PONDA au ASKOFU MWAMAKULA au ASKOFU BAGONZA" amealikwa kwenye hafla za serikali maana muda wowote kwenye hio hafla wanaweza "KUCHOMOA BETRI"

Pili, baada ya Jiwe kuona ametereza kumchagua huyo Naibu Waziri Wa Madini na amepata wazo jingine la kumteua mwingine kwenye hio nafasi, ila majina ndio yamesha tangazwa kwa wananchi, huyo Naibu Waziri Wa Madini akafanyiwa "MAKUSUDI" form yake kuwekwa maandishi madogo sana yaliyo vurugwa vurugwa pamoja na kuchanganyiwa "HERUFI ZA KICHINA" ili ashindwe kusoma halafu mabadiliko yafanyike.

Haiingii akilini DED ashindwe kusoma "PARAGRAPH MBILI" za kiswahili, wakati "MBUNGE MSUKUMA" mwenye elimu ya "DARASA LA SABA (FAILURE)" anaweza kusoma Bajeti Za Serikali na Sheria huko bungeni vizuri na akazielewa.

Watu wanamcheka na kumkebehi kwa kushindwa kusoma kiapo, ila sio jambo jema kabisa, yule bwana ataathirika kisaikolojia, anapaswa kupewa moyo na counselling. Sio kumcheka au kudhihaki. YULE NI BINAADAMU PIA."
Nimekuelewa sana mkuu. Ifike mahali pamoja na tofauti ya itikadi zetu, bado tubakize roho ya kibinadamu. Niliumia sana.
 
Yaan mheshimiwa ndulane angeshtua hata shot mbili za k vant pale angeflow kama anakunywa maj tu

Mim binafsi nishafanya hayo maeneo meng sanaaa.

Yaan hutakiw kulewa bali unashtua kuchangamka na kuondoa hofu

Hata kizungu huwa kina tiririka swaf kabisa

Hata kwenye matukio ya faragha..hata katika utongozaj...yaan mafanikio makubwa sana ndugu zangun

Nashauri na kuwasilisha

Uzi tayar
 
yaan mheshimiwa ndulane angeshtua hata shot mbili za k vant pale angeflow kama anakunywa maj tu

K-Vant kama una tatizo la UONO dhaifu inakumalizia kabisa.
 
yaan mheshimiwa ndulane angeshtua hata shot mbili za k vant pale angeflow kama anakunywa maj tu

Mim binafsi nishafanya hayo maeneo meng sanaaa.

Yaan hutakiw kulewa bali unashtua kuchangamka na kuondoa hofu

Hata kizungu huwa kina tiririka swaf kabisa

Hata kwenye matukio ya faragha..hata katika utongozaj...yaan mafanikio makubwa sana ndugu zangun

Nashauri na kuwasilisha

Uzi tayar
Sawa tumeopokea uzi tayari

Sasa mkuu tetema ile angepiga vitu ingekuwa balaa na nusu

Ujue mzigo wa K'vant ili-ukupe confidence inatakiwa muhusika uwe comfortable
 
Back
Top Bottom