Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
SanaaaaaShtua inasaidia sana kuongeza confidence.
Everyday is Saturday............................... 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaaaaaShtua inasaidia sana kuongeza confidence.
Everyday is Saturday............................... 😎
Hyo k vant fake..au hujui watu wanatengeneza mtaan hzo fake..zipo konyag.k vant..yaan pombe zote unazozijua ni spirits ujue zipo znafyatuliwa mtaanK-Vant kama una tatizo la UONO dhaifu inakumalizia kabisa
Comfortability unaipata ukishapiga shot mbil za kwanza.yaan mwepes..weng hyo wanatumia.hata wnaamuzik..sasa wao ndo huwa wnaaharib.wanatumia cocain au bang...sasa..bangi ndo yenyew yaan hulew ila unachangamka..na ndomana watu wanaotumia bang ni weng kuliko unavyofkiria na ni watu wazito kabisa ambao huwez wazaniaSawa tumeopokea uzi tayr
Sasa mkuu tetema ile angepiga vitu ingekuwa balaa na nusu
Ujue mzigo wa K'vant ili-ukupe confidence inatakiwa muhusika uwe comfortable..
Cha arusha nacho kizur ila kisizidSasa ukipuliza kidogo cha Arusha watu wote unawaona kama tumbili, zoezi kama lile unatiririka tu
Hii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Trancis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.
Wakati wa hotuba yake Rais Magufuli amesema atateua Naibu waziri mwingine wa madini baada ya Francis kufeli kula kiapo.
Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!
Maendeleo hayana vyama!
Tena master ya Mzumbe..[emoji41]Nimecheki mkuu tena ana Masters ya Finance hahahaa
Mtu hajawahi hata kukaimu ukuu wa idara, ghafra bin vuu unampa cheo ambacho hakutarajia. Uzoefu ni muhimu hata ukiwa msomi. Si aibu kwa mshindwa kuapa tu, hata kwa mteuzi.Yaani huyo jamaa amechemsha hadi akaambiwa akaketi!
Hivi vyeo vingine vya "kupewa" ndiyo matatizo yake
Sikuhizi viongozi wa dini ndio wabeba tunguli kwenye mazindiko, unategemea upako wa roho wa kweli utoke wapi?Labda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.
Ngoja niwakumbushe;
Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.
Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.
Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Maendeleo hayana vyama!
Lakini kwa vile wameumbwa bila soni, wanaona ni kawaida.Hii ni Aibu kubwa iliyoletwa na CCM, wanaliaibisha Taifa.
Hiyo kweli kabisa, haki ka dingi kamemkaba koo ndio maana alikuwa haoni kitu paleHiyo ni kazi ya ....Bwege wa Kilwa
Nimekuelewa bwashee!Hao viongozi wa dini wenyewe ni washirikina kama nini....
Unamjua shehe mapepo?!Sikuhizi viongozi wa dini ndio wabeba tunguli kwenye mazindiko, unategemea upako wa roho wa kweli utoke wapi?