Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mi mwenyewe na tatizo hilo la kuloose confidence na niko mwaka wa mwisho NINA PRESENTATION na miaka ya nyuma nilikuwa na kimbia presentation.Sasa wakuu nawezakufanyaje?Hii imetokea leo ambapo naibu waziri Fransis Ndulano alishindwa kusoma vizuri hati ya kiapo akapewa nafasi ya kurudia bado akawa anakwamakwama hadi akaambiwa akakae kwenye kiti chake. Sijui ataapa siku yingine au ndio kibarua kimeota nyasi. Sasa sijui ni uoga au wamemroga.
Fundisho:
Tuwafundishe watoto wetu kujiamini pamoja na elimu walizo nazo confidence ni muhimu.
Umetumia parameta gani kuamini kulikuwana ndumbanangai kwenye kile kiapo?Labda viongozi wa dini hawaelewi kwa nini huwa wanaalikwa kwenye shughuli muhimu za serikali.
Ngoja niwakumbushe;
Nyie viongozi wa dini uwepo wenu unamaanisha utakaso wa kiroho na mwili katika eneo husika na kwamba shetani hatapata nafasi ya kumdhuru yoyote.
Inapotokea nguvu za shetani zikapenya na kutia dosari shughuli husika maana yake viongozi wa kiroho mliokuwepo imani zenu ni haba kiasi cha kumruhusu shetani kufanya atakavyo.
Nimeshangaa leo Naibu waziri " anapagawa" kwenye kula kiapo viongozi wa dini yangu ya Kristo Yesu badala ya kukemea wao wakawa wanacheka.
Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Maendeleo hayana vyama!
Sifa tu za JPM kwan yeye mara ngapi amegurugusa akiongea kiingereza., ile inatokezea yule ni binadamu yawezekana tension mbele za watu pale ndio shidaHii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Trancis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.
Wakati wa hotuba yake Rais Magufuli amesema atateua Naibu waziri mwingine wa madini baada ya Francis kufeli kula kiapo.
Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!
Maendeleo hayana vyama!
Sasa ukipuliza kidogo cha Arusha watu wote unawaona kama tumbili, zoezi kama lile unatiririka tu.
Hamna ndumba iliyo penya kaka,jamaa alikuwa na kitete,Naunga mkono hawa viongozi wa dini ni waganga njaa tu,hawana Mungu wa kweli. Haiwezekani ndumba ipenyeze mahala walipofanya sala.
Haya ndiyo madhara ya kupata wabunge kwa mtutu wa bunduki na maji ya washawashaHii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Trancis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.
Wakati wa hotuba yake Rais Magufuli amesema atateua Naibu waziri mwingine wa madini baada ya Francis kufeli kula kiapo.
Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!
Maendeleo hayana vyama!
Umeambiwa jamaa alikuwa DED wa Ifakara!Mtu hajawahi hata kukaimu ukuu wa idara, ghafra bin vuu unampa cheo ambacho hakutarajia. Uzoefu ni muhimu hata ukiwa msomi. Si aibu kwa mshindwa kuapa tu, hata kwa mteuzi.
Hii inaathiriwa na makuzi pamoja na mazingira ni ngumu kuibadilisha kwa haraka.Mkuu mi mwenyewe na tatizo hilo la kuloose confidence na niko mwaka wa mwisho NINA PRESENTATION na miaka ya nyuma nilikuwa na kimbia presentation.Sasa wakuu nawezakufanyaje?
Tambaza na Kibaha Sekondari alifika fikaje? IFM na Mzumbe alifika fikajeEt inasemekana hajui vizuri kusoma
Afu jiwe amesahau yy mwenyewe "alizimika" Lindi huko!Ningepata nafasi ya kumuona Rais leo hii ningemshauri asimtumbue NW Madini, mtu mzima yule tena msomi hawezi kushindwa kusoma sentensi mbili hizo.
Kuna tatizo sehemu, waswahili tuna mambo ya kijinga sana.
Haswaa!...Next time watu wa itifaki mnapoalika viongozi wa dini basi leteni walawi kweli siyo hawa wenye harufu ya siasa.
Nadhani dunia nzima inamshangaa Maalim kwenda kuapa wakati wenzake/mashabiki wake bado hata hospitali hawajatoka au kupona majeraha yale ya risasi.Huwezi tengeneza tukio kama hili,hii ni fedheha kubwa sana kwa taifa letu. Tukio kama hili huwa linatazamwa dunia nzima.
Haya ni matumizi sahihi ya jicho la tatu. Hongera kwamatumizi sahihi ya ubongo.Mimi najiuliza sana!
Hivi selikali huwa wanatengeneza vimatukio ili kutusahaulisha mambo flani flani?
Hebu ona mjadala wote wa ACT na Maalimu Seif umekufa kabisa.
Tabia za watawalaKumbuka alishaapa bungeni, pili aliwahi kuwa Mhasibu wa Tanroads Lindi, tatu alikuwa mkurugenzi wa Wilaya.
Hii ni "ndumba dot com" period.