Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Sijui kama unaujua utaratibu wa upandishaji wa vyeo.Hana hata mamlaka ya kumfuta cheo. Kama ana hayo mamlaka basi anaweza kumpandisha cheo mtumishi yeyote wa umma. Mwenye mamlaka hayo ni Katibu Mkuu wake ambae ndie Mtendaji Mkuu wa Wizara. Na uamuzi wake unaweza kukatiwa rufaa katika Tume ya Utumishi. Watu hua hawakati rufaa kwa sababu mabadiliko hayo ya wadhfa yalikuwa hayaathiri mishahara yao. Lakini sasa kwa hii sheria ya Mwigulu, watu watakata tu rufaa.
Mawaziri sio watendaji katika wizara. Wao jukumu lao ni kusimamia sera za wizara.
Amandla...
Nielimishe.Sijui kama unaujua utaratibu wa upandishaji wa vyeo.
Mollel kumbuka huo ubunge wako ni wa wizi wa kura pia uwaziri ulisadiwa tu na mwendazake kama kulipa fadhila baada ya kuwasaliti CDM..acha kutesa watu.Dk Mollel pia ameagiza Koroso aswekwe mahabusu akidai amemtolea majibu na lugha ya kijeuri kuwa “hajali lolote hata akifukuzwa kazi”.
Nimtafute quantity surveyor anifahamishe?Itachukua muda mrefu kukufahamisha kwa nini katika Boq kinachozumziwa ni zege na sio mchanga, simenti, chuping na maji.
Ushauri wangu kwako ni tafuta Quantity Surveyor atakufahamisha kuhusu rates, Boq na specifications.
Amandla...
Wewe uliyejiunga juzi ndio leo unifundishe mimi jinsi hili jukwaa lilivyo?Nimtafute quantity surveyor anifahamishe?
Hatuendi hivyo hapa bana, you know this as well as anybody; ukitoa lecture ya BOQ then jibu maswali ya quantity surveying yanayofuatia.
Vinginevyo futa kakli zako ulizoongelea kuhusu mambo ambayo huyajui.
Unaambiwa zege lita cost milioni 50, kama ni hela yako utatoa bila kuhoji breakdown ya hiyo milioni 50? Huna jibu!
Ndio maana Magufuli alihangaika sana na makandarasi na mafundi kila mradi. Mnataka mfanye kazi ambayo haina oversight, haina accountability, kisa wataalam.. Mkiachwa bila usimamizi mnajenga bwawa la kuoshea mifugo kwa hela ya kujengea suspension bridge la kwenda Zanzibar. Engineers form the linchpin of the venal syndicate that is stiffling national development.
Archetypical fundi wa kibongo, ukimhoji kidogo tu mmekwaruzana, umeshindwa kujibu hoja unaanza vioja vya kukosoa conjuction na viambishi vya Kiingereza. Utoto na ulimbukeni mtupu.Wewe uliyejiunga juzi ndio leo unifundishe mimi jinsi hili jukwaa lilivyo?
Mtu unaedhani zege inapimwa kwa lita hauwezi kuelewa mambo ya Boq mpaka ukae na mwalimu ana kwa ana!
Usichokijua ni kuwa ukisha ingia mkataba na mkandarasi hauna namna ya kuhoji rate alizoziweka baada ya ku sign mkataba. Kama unaona hastahili, vunja mkataba halafu umlipe gharama za kuvunja mkataba.
Aidha, msimamizi wa mradi anaainishwa katika mkataba. Kama hajaainishwa, mkandarasi halazimiki kumpa taarifa yoyote kuhusu mradi. Ila kwa sababu mnawatisha na wengi hawajui haki zao ndio wanakubali muwaendeshe. Hivyo hivyo kwa msimamizi wa mradi. Huyo nae anawajibika kwa aliyemuajiri tu na si mwingine. Hao wanasiasa hawaajiri mtu.
Kumbe mliwanyang'anya usimamizi wa miradi ya ujenzi wahandisi na wataalamu wengine na mkawapa walimu wa shule za msingi, makatibu kata na kamati za shule za ujenzi kwa sababu mlitaka miradi iwe na oversight, accountability n.k. Ndio maana mkatumia mfumo ulioundwa kwa kazi ndogo za dharura ulioitwa "force account" kwenye ujenzi wa miradi yote!
Na mwisho, wenye lugha yao wanasema " are the linchpin sio form the linchpin". Ila kweli umethibitisha kuwa msomi kwa kutumia maneno magumu kama "venal" na "stifle".
Bahati mbaya sina muda wa kupoteza kujaribu kukuelimisha kijana ambae haujui usichojua.
Amandla...
Kosoro anajibu kishujaa sana sioni hatia juu ya mtu huyuKutokana na kauli hiyo, Koroso aliyeketi jirani na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi Wilaya ya Ukerewe akajikuta anawekwa chini ya ulinzi na kupelekwa mahabusu.
Unaweza kuishauri serikali Boq iwe ina quantify mchanga, simenti, kokoto badala ya zege. Au tutumie tu schedule of materials badala ya Boq.Archetypical fundi wa kibongo, ukimhoji kidogo tu mmekwaruzana, umeshindwa kujibu hoja unaanza vioja vya kukosoa conjuction na viambishi vya Kiingereza. Utoto na ulimbukeni mtupu.
Wapi nimesema zege linapimwa kwa lita ?? Umebanwa kwa hoja umeanza vioja.
Tuliongelea content ya BOQ, ambayo ni adendum ya mkataba, kwa hiyo inajadiliwa wakati wa kufunga mkataba. Ili kujua detailed breakdown of project costs. Sijasema tubadili rate za gharama za zege baada ya mkataba kufungwa.
Kwanza unajuaje hizo rates anazozitetea Mhandisi zilikuwemo kwenye mkataba au kwenye BOQ?
NI KWA NINI KIASI CHA MATERIALS kinachotengeneza zege kisiwemo kwenye BOQ ???
BOQ inasema zege: milioni 500!
Hakuna kiasi cha zege wala vipimo vya content ya zege! Unataka serikali itoe tu hela. Wewe ungetoa ingekuwa nyumba yako ?????
Unajenga nyumba yako, unaambiwa kesho kutwa tunamwaga zege la jamvi, fundi anasema zege milioni 20 utatoa bila kuhoji kapataje mil 20 ????
Hayo ndio yaliyokushinda. Ulitaka kumtetea Mhandisi wa serikali kwa hoja nyepesi nyepesi ukakwama.
Fine and dandy, I get the last word then.na sitakujibu tena.
Eng Korosso oyeee!Taarifa zinasema mkuu wa Idara ya Ujenzi W7izara ya Afya anaendelea na majukumu yake kama kawaida baada ya kubainika kuwa Naibu Waziri hana mamlaka ya kumshusha cheo mtumishi wa wizara
Dkt. Mollel alimvua Madaraka ya ukuu wa Idara ya Ujenzi Injinia Korosso baada ya manishano ya kitaaluma ya hapa na pale
pia soma - Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”
Huyo Katibu Mkuu amewiva kiutendaji.Taarifa zinasema mkuu wa Idara ya Ujenzi Wizara ya Afya anaendelea na majukumu yake kama kawaida baada ya kubainika kuwa Naibu Waziri hana mamlaka ya kumshusha cheo mtumishi wa wizara
Dkt. Mollel alimvua Madaraka ya ukuu wa Idara ya Ujenzi Injinia Korosso baada ya manishano ya kitaaluma ya hapa na pale
pia soma - Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”