Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere alitengeneza taifa la watu waoga sana.
Ni cement ya wapi? Imenunuliwa wapi? Hivi unategemea mkandarasi anunue simenti bila kuweka faida yake, gharama ya kusafirisha n.k.? Na kwenye BoQ hamna kitu kama bei ya mfuko kwenye rates. Kinacholipiwa ni zege au tofali lililotumika kwenye mradi.Chukulia mfano wa cement, cement mfuko Bei yake unajulikana mfano 42.5 ni 20000, alafu umenunuliwa kwa 30000. Hapo inahitaji uwe mtaalamu kujua kuwa Kuna wizi?
Aweso alienda kukagua bwawa lililojengwa kwa mil 200, hivi ilihitaji awe na uwezo wa kusoma BOQ kujua kuwa Kuna wizi umefanyika pale?
Tatizo kubwa tulilonalo waafrica wengi ni hili la kuona suala la kupiga ni kawaida. Ndio maana Hadi leo tupo hivi.
Hivi unadhani toilet paper holder ya Duravit inauzwa shilingi ngapi?Kuna watu humu Wana matatizo ya akili. Mm napingana na serikali kwenye vitu vingi, lakini unawezaje kupinga Jambo Kama hili? Toilet paper holder kwa laki 5?? Alafu huyo mhandisi bado anajibu jeuri
Hahahhahamasai dada ongea na huyu kaka yako asilete unjeree kwenye kazi.
Hata Nyerere alikuwa anapingwa, ni zaidi ya miaka 25 toka afariki sema aina ya viongozi wenu vilaza wanapopingwa hata ndio matokeo yakeNyerere alitengeneza taifa la watu waoga sana.
Wote kwenye Utumishi wa Umma tukianza kuwajibu viongozi wetu hivyo itakuwaje?Tangu lini Naibu Waziri amekuwa na mamlaka ya kumtia mtu ndani? Au hata kumshusha cheo mtumishi wa umma? Tangu lini kumjibu vibaya kiongozi yeyote imekuwa kosa la jinai?
Hivi nani atamfungulia mashtaka huyo Injinia? Na hao ma dc na wengine wametajwa wapi katika mkataba? Kushirikishwa kwao ni privilege sio right. Wao kama wanataka iwe right, waiingize kwenye mkataba wa ujenzi kuwa msimamizi wa mradi atawajibika kwa DC na kamati zake.
Alipokosea injinia ni kwenye suala la Force Account. Yeye angeishia kusema tu kuwa Suma kazi imewashinda na atafutwe mkandarasi mwingine. Force account itumike kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo na kuziba mashimo ya barabarani lakini sio kwenye miradi complex kama hospitali. Kwa kusema hivyo, nimeingia shaka na uwezo wake na huyo mwenzake wa mkoani.
Ila kwenye hili, amfungulie mashtaka Naibu Waziri kwa matumizi mabaya ya nafasi yake na kumuonea. Labda ndio yeye na wenzake watajifunza kuwa wao ni viongozi sio wanyapara.
Amandla....
Hayo ya kuzingatia aina ya majibu yanayokufurahisha ndiyo yalitufikisha hapa.Wote kwenye Utumishi wa Umma tukianza kuwajibu viongozi wetu hivyo itakuwaje?
Lazima kuwe na order ndani ya serikali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Huyo ni wa kumuondoa kabisa. Unamjibuje mwajiri wako hivyo? Katibu Mkuu ndio mwajiri wizarani lakini na yeye yupo chini ya Waziri na Naibu wake. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa maadili wa hali ya juu.
Serikali sio familia ya Kambale kwamba kila mtu ana ndevu.
wenzetu huko waziri mkuu yuko anajambishwa na kupikwa kitimoto sisi huku tunakalia kulazimisha heshima ya kiungu.Wote kwenye Utumishi wa Umma tukianza kuwajibu viongozi wetu hivyo itakuwaje?
Lazima kuwe na order ndani ya serikali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Huyo ni wa kumuondoa kabisa. Unamjibuje mwajiri wako hivyo? Katibu Mkuu ndio mwajiri wizarani lakini na yeye yupo chini ya Waziri na Naibu wake. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa maadili wa hali ya juu.
Serikali sio familia ya Kambale kwamba kila mtu ana ndevu.
Kimoleli kimesomea Mambo ya kinywa na meno, kichizi chizi fulani. Mzihangaike fatilieni historia yake mtaelewa, nyie wa vetting ebu fanyieni kazi hili acheni njaa mkasahau wajibuJamaa Ni mwamba, kale ka Morel miyeyusho
Hakaendani kabisa na hiyo professional, watumishi wengi wangekuwa Kama huyo engineer dharau za wanasiasa zingeishaKimoleli kimesomea Mambo ya kinywa na meno, kichizi chizi fulani. Mzihangaike fatilieni historia yake mtaelewa, nyie wa vetting ebu fanyieni kazi hili acheni njaa mkasahau wajibu
Inawezekana ndugu Koroso amekosea kusema hivyo ila hawa viongozi wetu pia huwa hawana busara kabisa.....wanapenda kusema vibaya wenzao bila adabu as if wao ni malaika