Pre GE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Big Brain ni akina nani hao? Tutajie watatu?
 
Ubarikiwe.

Bila kusahau Madelu, saiz anarekebisha na kukanusha Kila taarifa kana kwamba amenusa harufu Fulani mbaya kumhusu.
 
Zamu ya wazenji kulamba asali
Huenda Kuna mavyeo yapo bara wameandaliwa wazenji
 
Big Brain ni akina nani hao? Tutajie watatu?
Kwa Bungeni mle hawazidi 5

Kwa haraka tunao
1. Dr. Charles Kimei
2. Deo Mwanyika
3. Prof Sospeter Muhongo
4. Prof. Kitila Mkumbo
5. Prof Adolf Mkenda

Nje ya Bunge tunao wengi sana na wengi hawapo hata kwenye siasa

Kwa nafasi ya Gavana Benki Kuu
Yupo anayefaa zaidi naye ni Ruth Zaipuna(NMB).

Kwa Katibu Mkuu Kiongozi
Angefaa sana Prof Sifuni Mchome.( Sijui yupo wapi siku hizi)

Kwenye Baraza la Mawaziri
1. Prof Kennedy Gastorn
2. Prof. Assad( Ingawa huyu ana mkwamo wa kikatiba kutoruhusiwa kushika nafasi yeyote ya uteuzi kutokana na kushika cheo cha CAG huko nyuma)
3. Ally Gugu
4. Rished Bade
5. Nehemia Mchechu
6. David Kafulila
7. Tundu Lissu (Huyu angefaa sana kutokana na ujuzi wake wa Sheria kama Waziri wa Katiba na Sheria)

Hawa ni wachache tu ila nchi yetu ina watu wengi wazuri wengi sana na wengine wapo Taasisi za Kimataifa na Makampuni makubwa na wanafanya sana vizuri sana.
 
Hapo umepatia Wawili! Charles Kimei na Mwanyika! Hao akina Kitila,Muhongo na Mkenda hawana lolote theory nyingi sana! Tena Mkumbo hovyo!
 
mtu akiwa tiss mnamuona kama anafanya kazi mbinguni yaani malaika
Sijui hii dhana alitujengea nani! Yaani wamejengewa picha fulani kama kazi ya maana kuliko zote! We kazi gani ni kutii, kila kitu kutii!

You must obey direct order from superior hata kama kilaza! Kazi gani isiyokuwa na uhuru! Ni mwendo wa kujificha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…