Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwinda nafasi hutengenezwa kwa kujiuzuru?Soon Baraza linasukwa. Au anawinda Ukatibu Mkuu Kiongozi?
Big Brain ni akina nani hao? Tutajie watatu?Ningekuwa Rais ningefanya haya!
Ningeunda Baraza dogo ambalo almost robo tatu ya Mawaziri ni big brains niliowatoa nje ya Bunge kwenye sekta zao.
Pili ningeanzisha mchakato wa katiba mpya haraka.
Tanzania tunahitaji hayo. Big brains lwenye nafasi za juu za maamuzi na Katiba Mpya ambayo ni bora.
Mengine yote ni siasa uchwara tu!
Ubarikiwe.Kwa sababu Mzee Mbarouk ni TISS , na aliwekwa hapo kufatilia hatua za Jamaa wa Bumbuli.
Kazi kaimaliza, anavyosema "Changamoto Binafsi " .... Ni kwamba anarejea Nyumbani kwenye majukumu yake ya zamani.
Hahitaji Nafasi nyingine Kwa sababu hizo nafasi nyingine haziondoi Changamoto zake.
Nadhani Kuna Mabadiliko ya Baraza la mawaziri.
Mimi bado nataman kuona
BASHE MSOMALI ,ATUPILIWA MBALI.
NAPE BICHWA EMPTY , ANATEMWA.
MAKAMBA KIPARA , ANAFYEKELEWA MBALI.
Ni maelekezo toka juu!!!huyo ni mzanzibar hua hawana kulewa vyeo anytime they resign.
Zamu ya wazenji kulamba asaliMbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge leo Jumapili tarehe 21 Julai, 2024.
View attachment 3048086
Kwa Bungeni mle hawazidi 5Big Brain ni akina nani hao? Tutajie watatu?
Hapo umepatia Wawili! Charles Kimei na Mwanyika! Hao akina Kitila,Muhongo na Mkenda hawana lolote theory nyingi sana! Tena Mkumbo hovyo!Kwa Bungeni mle hawazidi 5
Kwa haraka tunao
1. Dr. Charles Kimei
2. Deo Mwanyika
3. Prof Sospeter Muhongo
4. Prof. Kitila Mkumbo
5. Prof Adolf Mkenda
Nje ya Bunge tunao wengi sana na wengi hawapo hata kwenye siasa
Kwa nafasi ya Gavana Benki Kuu
Yupo anayefaa zaidi naye ni Ruth Zaipuna(NMB).
Kwa Katibu Mkuu Kiongozi
Angefaa sana Prof Sifuni Mchome.( Sijui yupo wapi siku hizi)
Kwenye Baraza la Mawaziri
1. Prof Kennedy Gastorn
2. Prof. Assad( Ingawa huyu ana mkwamo wa kikatiba kutoruhusiwa kushika nafasi yeyote ya uteuzi kutokana na kushika cheo cha CAG huko nyuma)
3. Ally Gugu
4. Rished Bade
5. Nehemia Mchechu
6. David Kafulila
7. Tundu Lissu (Huyu angefaa sana kutokana na ujuzi wake wa Sheria kama Waziri wa Katiba na Sheria)
Hawa ni wachache tu ila nchi yetu ina watu wengi wazuri wengi sana na wengine wapo Taasisi za Kimataifa na Makampuni makubwa na wanafanya sana vizuri sana.
Mwanyika wa Barrick zamani,wezi wa makinikiaHapo umepatia Wawili! Charles Kimei na Mwanyika! Hao akina Kitila,Muhongo na Mkenda hawana lolote theory nyingi sana! Tena Mkumbo hovyo!
Eti???yaan mtu anajiuzulu kupata maokoto anarudisha na lile Dungu LC 300???sio bure kuna mchezo unapangwaHapa kuna jambo na si bure. Huu utamaduni hatuna hata tuwe na changamoto za aina gani.
Sijui hii dhana alitujengea nani! Yaani wamejengewa picha fulani kama kazi ya maana kuliko zote! We kazi gani ni kutii, kila kitu kutii!mtu akiwa tiss mnamuona kama anafanya kazi mbinguni yaani malaika
Lakini jamaa anaona watu wa maana lazima waanzie na Dr au Profesa wakati ujinga huo Ulaya haupo na watu wanapiga mzigo vizuri tu!Mwanyika wa Barrick zamani,wezi wa makiniia!