We ulipanda tar ngap mkuu,Kwa walio lima mwishoni alizeti ikiwa bado ndogo inaathirika mkuu
Lakini kama wakati mvua inakata alizeti ilikua imekua itaenda fresh tu athari kidogo sana
Ila mvua ikirudi mapema ikamwaga maji ya kutosha itapona
Binafsi sijawahi ona kabisa watu wanaweka dawa.Hivi kuhifadhi alzeti unahitaji dawa za kuhifadhia kama mahindi?
Alizeti kama mtu ukipanda mapema na shamba likiwa limelimwa vizuri kwa trekta. Alizeti inawezekana kuvumilia jua. Hasa ikisha fika kina cha magoti au kiunoni. Halafu ile hali ya trekta kupita huwa kunafanya udongo utunze maji.Mvua naona kama zinasuasua mkuu,jua ni kali..vip haliwezi kuathiri Alizet kwa sasa?
Ndugu yangu Ukwaju sijui ni mrejesho gani unao utaka zaidi ya huu nilioutoa (nimeu quote hapo juu)MREJESHO WA GHARAMA so far
Kukodi Shamba ekari 20
20 x 30,00 = 600,00
Shamba lilikua safii
Kulima
20 x 40,000 = 800,000
Mbegu (ASA)
80 x 5,000 = 400,000
Kupanda
20 x 30,000 = 600,000
Palizi
20 x 50,000 = 1,000,000
Mengineyo
1,000,000
Jumla kuu kama 4,500,000
Mpaka sasa nimelaza 4.5M
Bado kuvuna, kupeta, na hifadhi
Makadirio gharama yote isizidi 6M
Mawazo makuu yanayo vuruga kichwa changu kwa sasa ni JE NITAPATA WASTANI WA GUNIA NGAPI KWA EKARI?
Kukodi shamba ekari ni elfu tatu? Au.umekosea?Ndugu yangu Ukwaju sijui ni mrejesho gani unao utaka zaidi ya huu nilioutoa (nimeu quote hapo juu)
Alizeti inapalizi moja tu.......kama ulilipia palizi zaidi ya moja basi jua ULIPIGWA mkuu
Hizo ndio gharama nilizo tumia so far...... nimeweka hadi gharama za mademu niliomega huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaitwa HysunInaitwaje hiyo mbegu kuna mbegu ilijadiliwa sana humu nautafuta ule uzi siuoni nazan ndio hiyo mana naona bei zinaendana
Kwa wanaolima alizeti mwezi Disemba, lazima wapalilie mara 2Ndugu yangu Ukwaju sijui ni mrejesho gani unao utaka zaidi ya huu nilioutoa (nimeu quote hapo juu)
Alizeti inapalizi moja tu.......kama ulilipia palizi zaidi ya moja basi jua ULIPIGWA mkuu
Hizo ndio gharama nilizo tumia so far...... nimeweka hadi gharama za mademu niliomega huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona pame andikwa 30,000 wewe efu 3 hiyo ume itoa wapi maana hata hesabu yenyew ya jumla ame kuandikia 600,000Kukodi shamba ekari ni elfu tatu? Au.umekosea?
A cha ubishi sniper92MREJESHO WA GHARAMA so far
Kukodi Shamba ekari 20
20 x 30,00 = 600,00
Shamba lilikua safii
Kulima
20 x 40,000 = 800,000
Mbegu (ASA)
80 x 5,000 = 400,000
Kupanda
20 x 30,000 = 600,000
Palizi
20 x 50,000 = 1,000,000
Mengineyo
1,000,000
Jumla kuu kama 4,500,000
Mpaka sasa nimelaza 4.5M
Bado kuvuna, kupeta, na hifadhi
Makadirio gharama yote isizidi 6M
Mawazo makuu yanayo vuruga kichwa changu kwa sasa ni JE NITAPATA WASTANI WA GUNIA NGAPI KWA EKARI?
Kwa kiwango cha magunia kea Hysan utakuwa ulifeli sana sema kwenye mafuta kidogo ilikuinua.Mwaka Jana nililima Hysan Eka 10 nikapata gunia 35 ambazo zilitoa mafuta dumu 47.
Mwaka huu nimelima ASA eka 15 ,Ila ASA inavutia zaidi ukiangalia jinsi inavyoota na inavyokua Ila mwaka huu mvua imekuwa uchawi mkuu
Ila mafuta naona kwa wastani kila gunia lilikuwa linatoa lita 26.8 sasa sijui ilikuwa gunia la debe ngapiYaani kila eka gunia 3.5 aisee mbona balaa
Alizeti haihitaji kulimia shida. Ukilima alizeti Ili unufaike lazima uwe mvumilivu wa kusubiria bei tofauti na hapo lazima uongeze thamani mazao yakoMbona naona kama bei ikiporomoka ni hasara bora hata mahindi
Mlipigwa sana tena sana; alizeti palizi ni moja tu.umeishia mbali saha UPDATE zako hujaweka kupalilia ni mara ngapi umefanya.
Wenyeji wanaokodisha mashamba ni wabaya sana, wanakuuzia , wana kusafishia shamba, watalima na kupanda wenyewe, kwa tamaa zao watafanya wenyewe bila vibarua hivyo unatakiwa uwepo.
Ukichelwa kwenda wataomba hela ya palizi ya kwanza hadi ya 2 ukizubaa ya 3 na hawafanyi ukifika wakati watasema mvua nyingi weka palizi ya 3
nimeshtuka shamba lilishachoka kwa kulimwa miaka mingi Alizeti nikamwambia jamaa hawa wnasema utapata gunia 18 mpaka 20 kwa eka ni uongo mwisho ni gunia 7 au 8
Leo wanasema jua kali na ndege
huenda wamemkata nasubiri eka zilizo baki nitaweka mrejesho na hizo UPDATES zako tutapata jumisho km Alizeti ni zao la kumtoa mtu
Weka current picha ya shamba nikusaidie kukupa tathminiMREJESHO WA GHARAMA so far
Kukodi Shamba ekari 20
20 x 30,00 = 600,00
Shamba lilikua safii
Kulima
20 x 40,000 = 800,000
Mbegu (ASA)
80 x 5,000 = 400,000
Kupanda
20 x 30,000 = 600,000
Palizi
20 x 50,000 = 1,000,000
Mengineyo
1,000,000
Jumla kuu kama 4,500,000
Mpaka sasa nimelaza 4.5M
Bado kuvuna, kupeta, na hifadhi
Makadirio gharama yote isizidi 6M
Mawazo makuu yanayo vuruga kichwa changu kwa sasa ni JE NITAPATA WASTANI WA GUNIA NGAPI KWA EKARI?
Na mwaka huu ilivyotucharaza isipofika gunia laki mbili sijui!Alizeti haihitaji kulimia shida. Ukilima alizeti Ili unufaike lazima uwe mvumilivu wa kusubiria bei tofauti na hapo lazima uongeze thamani mazao yako
Yaani we acha tu. Ukiona imefika gunia laki mbili badi ujue mpaka Dec itakuwa laki3Na mwaka huu ilivyotucharaza isipofika gunia laki mbili sijui!
Wapi huko wanapalilia alizeti mara 2?Kwa wanaolima alizeti mwezi Disemba, lazima wapalilie mara 2
Ngoja tumuombe huyu akusaidie hints kidogo Ngome KuuTunaomba mirejesho tafadhali kwa mlio lima. Mimi napanga mwaka huu nikalime Songea, Insha Allah.
Kwa yeyote aliyewahi kulima hili zao Songea naomba anipe Uzoefu (Muda wa kupanda, mbegu bora, upatikanaji wa mashine za kukamua etc)