Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Mkuu unamaanisha amuue huyo kidi?Ukishindana na nature lazima uumie ni vile tu binadamu tunajiona tupo civilized,
Simba akivamia himaya ya Simba mwengine na aki dominate basi huchukua masimba jike wote na ataua watoto wote aliowakuta waliozaa na madume yale.
😅😅😅Yule mwamba ni mhutu😀😀😀
Lakini jamani tuwe tunaelewa nao wana moyo? Unadhani kumwacha mtoto uliyemzaa ukaenda kwa mwanaumw mwingjne ni jambo dogo.Kwakweli kuoa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine ambaye bado anaishi ni changamoto sana. Leo nilimtrembelea mdogo wangu naye ameoa demu na mtoto ila changamoto ni nyingi sana na dogo anaona kabisa hawatofika mbali ingawa na yeye keshapata naye mtoto.
Demu kapewa pesa amnunulie mtoto nguo hasa kipindi hizi cha baridi lakini yeye hajanunua pesa katuma kwao kuhudumia mtoto wake wa kwanza.
Kama ni mchaga hata unyonye hadi utumbo wa mgongo dharau ni jadi yao, kiburi na kesi za kila siku pyuuuuuuu marangu oyeee,! Weupe lakini najuta najuta sitakuja kurudia ...nilimjengea hadi nyumba lakini waapiMnyonye K ataacha dharau😡
Mchaga mpe mtori awe kifutu asitongozwe 😁Kama ni mchaga hata unyonye hadi utumbo wa mgongo dharau ni jadi yao, kiburi na kesi za kila siku pyuuuuuuu marangu oyeee,! Weupe lakini najuta najuta sitakuja kurudia ...nilimjengea hadi nyumba lakini waapi
Vikombe vinakaa kabatini sio mezani hivyo ni haki yake kuvibamizaHabari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Tatizo hawajui kula na vipofu.Lakini jamani tuwe tunaelewa nao wana moyo? Unadhani kumwacha mtoto uliyemzaa ukaenda kwa mwanaumw mwingjne ni jambo dogo.
Kule alikomwacha mtoto hata uhakika wa kula milo miwili tu ni jasho. Tena mlo hafifu mno. Huku kwa mume mpya anakula wali nyama. Roho inauma jamani.
Acheni tu.
Jiwekeeni kwenye viatu vyao.
Solution Kaa nae chini mwambie ukweli.nishatoa vyombo vya plastics kwa ajili ya mtoto yeye anampa vya udongo kwa nn sasa hata mwanangu lazima ningeongea
Ile mindset ya "anafanya hivi kwa sababu sio mtoto wake" ndo sumu kali sana kwenye mahusiano na mtu mwenye mtotoSolution Kaa nae chini mwambie ukweli
Single mother kunawakati ni kma hawajiamini hiyo ndo shidaIle mindset ya "anafanya hivi kwa sababu sio mtoto wake" ndo sumu kali sana kwenye mahusiano na mtu mwenye mtoto
Ila still si unamkojolea😂Siyo mwanangu nimemkuta na mtoto
Njoo uchukue sahani za chuma magetoniHapana imeniuma sana leo chakula napewa kwenye sahani ya plastic nikauliza mbona inakuwa iv leo ndo ananiambia sahani hamna zote zimevunjwa imeniuma sana ndo nikaamua kuja huku
Pia nadhani wengi wanaingia kwenye mahusiano kwa lengo la kupunguza changamoto zao za kimaishaSingle mother kunawakati ni kma hawajiamini hiyo ndo shida
Yes yes mkuu lugha gongana engilishi ilikuja kwa meliChildren is learning. Be patience and loved hers mom true love.
huyo ni mwanao pia saidia kumleaHabari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Dah 😂 kwahy jamaa ndo mkorofi 🙌Acha ukorofi watoto ni baraka.
ichukulie kiuzuri hii hali,wakianza tembea hua wanataka kujua kila kitu,changamoto ninayoiona kwa mama mtu atamdekeza sn mtoto mpk atakupanda kichwani na kua teja or mwizi baadae.Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana