Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

Badala mgome kupikiwa supu na chapati ili uto ijengewe hata pa kufanyia mazoezi.
 
Hatujakataa je wamezishirikisha administration za club zote juu ya ratiba hio au wemekaa tu na kuamua kutoa ratba.
Hili jambo halina athari kubwa kwa vilabu kwa sababu wao ni waalikwa tuu sio waandaaji. Hawatoi hata kumi kwenye hili na hata kama kutakuwa na tiketi za ndege ni tff ndio watakaogaramia
 
Ila yanga mnatakiwa mpewe tuzo ya kulalamika yaani mmechukua ubingwa ila kila kitu mnalalamika na yule zungu pori kule insta amewakamata masikio.
 
Vyema kabisa.
 
Utopolo kila kitu wanalalamika, Yan kama mwanamke aliyekopwa uroda
 
Kanuni zinasemaje kuhusu tuzo? walitaka muda kiasi gani kujiandaa wakati ligi inapo anza inajulikana mwisho kuna tuzo? kuhusu Pacome nipe ufafanuzi alicheza vipi mechi za CAF bila kukidhi vigezo?
Kama kaninuni, basi hiyo ni Bodi ya ligi na sio TFF.....Bodi ya ligi ndio inakuwa na kanuni za kuongoza ligi na mambo mengine kama hayo ya kutangaza mchezaji bora ........
 
Kuna ligi ya under20 bado haijakamilikam mkuu. Tuzo sio za Aziz tuu
Mbona kuna mahali nimesoma Kagera Sugar ameshatawazwa kuwa bingwa wa hiyo Ligi msimu huu!!

Na hata kama ingekuwa bado kukamilika, ndiyo tuzo zitolewe kwenye msimu mpya wa Ligi, huku tukiwa na wachezaji wengi wenye mikataba ya miaka miwili!!
 
Kalia Dole la Karia
 
Aliyesema kuwa Yanga wenye akili ni wawili tu alikuwa mbumbumbu , hivi wewe mbumbumbu ulitaka sisi watu wenye akili tuje na hoja ya kupinga nini kilichotolewa na mbumbumbu.
Siku zote mbumbumbu hawezi kuelewa na nyani haoni kundule endeleeni kuliona kundu la nyani mwenzenu enzi hizo.
 
wewe utakuwa karai, sio bure.
 
Hoja zako tatu umeeleza vizuri kama mwanamichezo, nilipofika namba 4 na 5 nimekuona kumbe ni mpuuzi kabisa na mbumbumbu always mbumbumbu.

Pacome acheze mashindano ya CAF halafu TFF ndio asiwe halali?

Stupidity.
 
Na huyohuyo Karia na tff yake wanaesema anawahujumu ndiye huyohuyo alitaka gsm adhamini ligi kuu ya NBC kabla ya Barbra kuutegua huo mtego.

Na huyohuyo Karia na tff yake ndiye karuhusu gsm kudhamini vilabu takribani 5 kwenye ligi Moja kwa manufaa ya utopolo.
 
Shida sio kulalamika shida ni kwamba mkishinda ubingwa mnalalamika mkikosa pia mnalalamika ndio tatizo linapoanzia hapo
Binafsi natamani kuona ufanisi kwenye uendeshaji wa michezo. Na siyo ubabaishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…