Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
- Thread starter
- #41
Haimaanishi Karia kuwa mnazi wenu, basi ndiyo kusema hana njaa! Kama ingekuwa ni hivyo, lile tumbo lisingekuwa vile lilivyo.Na huyohuyo Karia na tff yake wanaesema anawahujumu ndiye huyohuyo alitaka gsm adhamini ligi kuu ya NBC kabla ya Barbra kuutegua huo mtego.
Na huyohuyo Karia na tff yake ndiye karuhusu gsm kudhamini vilabu takribani 5 kwenye ligi Moja kwa manufaa ya utopolo.