Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Nyimbo zote zimetulia,zina uafrika mwingi dogo kaacha ule ufala wake wa manyimbo ya kichoko karudi enzi zake za "ukimuona" ....EP iko safi kabisa inafaa kusikiliza mbele ya mama mkwe.
 
Kama EP iko vile na nyimbo zile basi Album itakuwa balaa kubwa zaidi. Huwenda tuzo za huko mbele kama BET n.k muda wake unakaribia baada ya kuwa nominated sasa it’s almost time. Mnyonge mnyongeni haki yake moeni hiyo EP ya FOA iko vizuri sana.
 
Bado sijasikia kitu kipya iwe melodies, beats, uandishi n.k

Rate 5/10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…