Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

guess i have been living under the rock, don’t know shit about Diamond’s Ep ngoja nkaone si ipo hadi spotify
 
Reactions: Qwy
Jamaa kajitahidi kusema ukweli EP inasikilizika

Sema Kuna sample ya Essence by wizkid imepigwa humo kwenye nyimbo Loyal
 
hii EP kuna kitu hakiko sawa naipa 6/10 si mjuzi wa muziki ila naiona NIGERIA sana humu kwa nyimbo za kingereza ndo kabisa hadi utamkaji wa maneno.

amapiano.... sio mpya nadhani nshaisikia sehemu miezi kadhaa nyuma lakini pia amapiano inahitaji sauti na ujanja fulani ambayo DIAMOND hana....

iko saizi ya kati...... si nzuri wala sio mbaya
 
Ebwana eeeh, kwenye hii EP Diamond kafanya kweli na anaendelea kuthibitisha umwamba wake kwenye Bongofleva. Mtu akibisha muulize hivi, anailinganisha na Album gani ya kizazi hiki cha Bongofleva??

Ile Amapiano nimeopenda mixing yake na ukitaka kuenjoy basi sikilizia kwenye earphones nzuri au music sound system nzuri.
 
Africa ipi imesimama?

Hii habari ndio kwanza wengine tunaiona leo humu

Mitandaoni ni ukraine na urusi tu
 
Huyu mwamba ni kwere !![emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…