Mnashindasha original vs clone yake. Mwisho wa siku anawaumiza wasanii wake, Killy kaachia Ep haipi promo hana mda nayo na Anjella nae juzi kaachia nyimbo promo hamna.
Mondi ni msanii mkubwa ambaye mziki wake ushasambaa sehemu nyingi Afrika. Una mzungumzia msanii wa kwanza Tanzania kupiga shows zaidi 95% ya nchi za Afrika ukiondoa za kiarabu.
Huwezi kumzima kivyovyote.Ila jamaa apunguze mabeef naona juzi Fred Vunjabei alimaindi, ila baada kusikia huu wimbo kumbe Harmo kaiponda too much money.