Naitabiria Yanga mafanikio zaidi ya Simba msimu wa 2023-2024

Kwa hiyo kuachwa kwa wachezaji wawili ndiyo useme usajili wa mhemko, tena mmoja mlikuwa mnamsema sana kuwa ni mzee na hafai, leo hii unamlilia? Umemuona Malone? Halafu umecopy maneno yangu ila mimi niliyasema kwa angle tofauti.
Bwashee, hata mimi ni mdau wa michezo. Hivyo hiyo kitu ya kusema nimecopy maneno yako, inafikirisha sana. Labda kama sina uelewa wowote ule na mpira wa miguu.

Halafu mimi sina sababu ya kulilia wachezaji wenu mliowaacha. Wewe umeniuliza, na mimi nikakujibu. Nje ya hapo, ninawaombea tu njaa mshindwe pia kwenye huu msimu. Hakuna kingine.
 
Subilia Tanga ndio utajua kama ayo maingizo mengi mapya unayosema kikosi cha kwanza yameclick ama ayajaclick, pacome, zouzou, nzegeli na yao yao ndio wachezaji watatu wapya watakaoanza kikosini na awawezi kuharibu backbone ya timu ya first 11 kwa wachezaji 9 waliozoeana, ingekuwa nusu ya kikosi wote wanaoanza ni wapya apo ungekuwa na point ya kujadili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo wakitaka kumgusa anageuka jiwe?
Yani pale kwenye kikosi lazima atokee tu mana kocha mwenyewe anapigwa zongo anatulia. Umuhimu wa Boko mda mwingine unaletwa na utaalamu wa wapemba wa wete
 
We choko Kila post unaweka Hilo likomenti lako acha ufala Upinde wewe
 
Mbumbumbu akili itawakaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Za mida?
Ihefu hawajambo, yule kocha wao amehamia Mtibwa, atatusaidia kumfunga paka kengele Manungu.

Tunaongoza ligi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ, tuko AFL na Ahly kesho, tuko makundi klabu bingwa. Sasa utacheza na Azam, safari hii wamejidhatiti ukishinda ni draw.

Sisi tukimalizana na Ahly tutakuwa tumeshafikia quality tunayotaka, halafu tutakutana na wewe๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Mshauri Gamondi afuge nywele, maana atajikuna kipara achubuke siku hiyo.
 

Bado hamjasema.. na mtasema

Bao 5 zinawashaaaa sana
 
Hakika ulichambua na kuijua mapema. Ukweli una tabia ya kujitetea.
 
[emoji2772][emoji2772][emoji2772]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ukishiba viazi usiropoke hovyo
 
Madhara ya balimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ