Naitabiria Yanga mafanikio zaidi ya Simba msimu wa 2023-2024

Naitabiria Yanga mafanikio zaidi ya Simba msimu wa 2023-2024

Bado hamjasema.. na mtasema

Bao 5 zinawashaaaa sana
Tuliteleza, zinakuja game za kimataifa.
Ihefu alikufunga,tukamfunga Ihefu... wewe ukatufunga 5-1.

Al Ahly atakuja mwezi huu, sisi timu mnayoiita mbovu tume draw nao home and away.
Natumaini hautawafunga 5, utawafunga 3~0. Nimebonyeza 5 kupaa hiki kichekesho.
 
Mwakarobo fc
fika hiyo robo ndiyo uongee, upo huku katika ligi ya klabu bingwa.🤣.

Na ratiba ya kikatili, unaanza Belouzdad away, unarudi kwa Al Ahly, unaenda kwa Medeama kisha unarudiana na huyo huyo Medeama.
Mzunguko wa kwanza.
Ahly 3
Belouzdad 3
Yanga 0
Medeama 0.

Mzunguko wa pili Ahly atakuwa Dar, unakandwa
Ahly 6
Belouzdad 6
Yanga 0
Medeama 0

Mzunguko wa 3
Ahly 9
Belouzdad 6
Yanga 1
Medeama 1

Mzunguko wa 4
Ahly 12
Belouzdad 6
Yanga 4
Medeama 1

Mzunguko wa 5
Ahly 15
Belouzdad 9
Yanga 5
Medeama 1


Mzunguko wa mwisho
Ahly 16
Belouzdad 10
Yanga 6
Medeama 1

Kusha mtaita MWAKAROBO KWA HESHIMA NA NYIE KUBATIZWA MWAMAKUNDI.
 
fika hiyo robo ndiyo uongee, upo huku katika ligi ya klabu bingwa.[emoji1787].

Na ratiba ya kikatili, unaanza Belouzdad away, unarudi kwa Al Ahly, unaenda kwa Medeama kisha unarudiana na huyo huyo Medeama.
Mzunguko wa kwanza.
Ahly 3
Belouzdad 3
Yanga 0
Medeama 0.

Mzunguko wa pili Ahly atakuwa Dar, unakandwa
Ahly 6
Belouzdad 6
Yanga 0
Medeama 0

Mzunguko wa 3
Ahly 9
Belouzdad 6
Yanga 1
Medeama 1

Mzunguko wa 4
Ahly 12
Belouzdad 6
Yanga 4
Medeama 1

Mzunguko wa 5
Ahly 15
Belouzdad 9
Yanga 5
Medeama 1


Mzunguko wa mwisho
Ahly 16
Belouzdad 10
Yanga 6
Medeama 1

Kusha mtaita MWAKAROBO KWA HESHIMA NA NYIE KUBATIZWA MWAMAKUNDI.
Cool
 
Hakika ulichambua na kuijua mapema. Ukweli una tabia ya kujitetea.
Pamoja na ugumu wa kundi ya Yanga kulinganisha na lile la Simba na kuanza na kipigo jana, bado nikiangalia ubovu wa Simba, Yanga ina nafasi zaidi kuvuka.

Leo tumeona mapro wanahenyeshwa na madogo wa academy huku kwa dakika 45 wanashindwa kupiga hata pasi 2 zilizokamilika.
 
Back
Top Bottom