Najiskia kuwa mnyonge, na moyo wangu umebondeka sana. Eehh Mungu nitie nguvu

Ushimen nini mbaya na veve?Unaanza kuandika wosia/usia/wasia mapema hivi?
 
Asante sana kwa maombi yenye nguvu na ikawe baraka na uponyaji wa mioyo na wote wanao pitia kipindi kigumu kama hiki
 
Moyo unaniuma, pia najikuta nikitamani kulia lakini machozi hayataki kutoka.
[emoji848][emoji25]

Hata wanaume hulia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kuna wakatu Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, but we have to be strong[emoji17][emoji848][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Warumi 8;24~26 maana kwa matumaini hayo sisi tumekombolewa.lakini tumaini halina maana ikiwa tunakiona kile tunachotumainia.maana ni nani anayetumaini kile ambacho tayari anakiona? Kama tunakitumaini kile ambacho hatujakiona bado, basi,tunakingojea kwa kuvumilia. Hali kadhalika, naye Roho anatusaidia katika udhaifu wetu.maana hatujui inavyotupasa kuomba, lakini Roho mwenyewe anatuombea kwa Mungu kwa mlio wa huzuni isioelezeka.
 
Sijui sana kuhusu biblia.

Hata sitakuombea.

Hua unatuma nafasi za kazi jukwaa la Ajira na Tenda vijana hua tunachangamka nazo for years na hakuna tulipofanikiwa lakini tuna tumaini kwamba ipo siku tutafanikiwa. Tunakua disappointed, roho zinauma tunaamini siku bora itakuja tunavumilia.

Matumaini yanatuambia endelea kidogo itakua sawa.

Na wewe pia hauchoki kutuma posts kwakua ingawa tunakuambia hatujapata unaamini kwamba kuna siku mmoja wa vijana atapata. Your persistence has been fueled by hopes na moyo wa kujitoa.

Katika kipindi hichi acha moyo wa kutumaini ushikilie usukani, ukuonyeshe kitakachokua yote yakishavukwa, ukutie nguvu kila saa. Halafu yote yakipita wiki moja baadaye, mwezi baadaye au mwaka utakaa na shemeji na kuhadithiana hili tukio kama hadithi ya kuchekesha.

Look forward to this day
 
Pole sana mzee baba,
Nyie kuku ambao kila tatizo la mtu unawaza kuchapiwa mke, mijitu kama hii inaboa sana na ndio wanaongoza kuteswa ma mapenzi.

Ushimeni haina haja ya kuweka kisa hapa kama wengine wanavyotaka, mwenye nia nzuri atakuombea na kukutakia mema as long mtu ameshakuambia anapitia matatizo...
Hao wanaotaka uweka hapa ni kutaka kuchorana tuu.

Mwisho Mungu akupitishe katika hili nalo, usiwaze kwa akili yako, maana ukiwa na msala mkubwa unamuomba Mungu lakini unawaza tena hivi hapa Hata huyu Mungu atanichomoaje? Yaani unataka umfundishe Mungu tena way out.
 
Naogopa sana napoona watu wazima wanapitia haya.Nawaza itakuwaje kwa mimi little boy,nitaweza kusimama kweli?

Pole brother,onesha uimara ili wadogo zako tufuate nyayo zako ktk kupambana.
Mungu akubariki
 
Hapa hamna code mkuu, nikwamba napitia majaribu ambayo yapo nje ya iwezo wetu, lakini kama familia tunamuomba Mungu atende kama itakavyo mpendeza.
Mzee si ufungue nini kinachokusibu huenda hapa kuna mtu alishapitia the same exactly na jaribu na akapata njia so funguka mtoto wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…