Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushimen nini mbaya na veve?Unaanza kuandika wosia/usia/wasia mapema hivi?Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu.
Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi.
Nashkuru Mungu amenibariki familia yenye furaha na hakika najivunia kujiona mwenye bahati hii.
Yes, tumebarikiwa shelter na watoto wanasoma shule nzuri kwa kiwango chetu.
Si haba, tunabarikiwa mkate wa kila siku na hata baby walker zinazo kidhi udogo wa familia yetu ya watoto 8.
Lakini kuna wakatu Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, but we have to be strong.
So who are falling on our harms watupate tukiwa tumeimarika. Kwahili naona kwangu limekua gumu. Moyo unaniuma, pia najikuta nikitamani kulia lakini machozi hayataki kutoka.
Naomba msinishangae ndugu jamaa na marafiki, kwani hapa ndipo sehem sahihi kwangu ninayo weza kupata pumziko na faraja.
Baada ya kusema haya machache, niwaombe mtuombee kila mmoja kwa imani yake na hili ndilo ombi letu kwenu na Mungu awabariki sana.
Ebu ngoja nijaribu tena kupambana kama nitaweza kupata japo lepe la usingizi.
Asante sana kwa maombi yenye nguvu na ikawe baraka na uponyaji wa mioyo na wote wanao pitia kipindi kigumu kama hikiEe Mungu, Baba yetu wa Mbinguni,
Tunakuja kwako leo kwa ajili ya Ushimen na familia yake. Tunaomba uwalinde na kuwafariji katika wakati huu mgumu.
Tunajua kwamba Ushimen anapitia maumivu makubwa mioyoni mwake na mahangaiko ya fikra zake. Tunaomba umwape nguvu ya kuvumilia majaribu haya.
Tunashukuru kwa baraka ambazo umewapatia, kama vile familia yenye furaha, makazi, elimu kwa watoto, na mkate wa kila siku. Tunaomba uendelee kuwabariki kwa neema yako.
Tunajua kwamba wewe ni Mungu wa upendo na huruma. Tunaomba uwafundishe Ushimen na familia yake jinsi ya kukutegemea katika wakati huu mgumu.
Tunaomba kwamba Ushimen apate amani na faraja katika wokovu wako. Tunaamini kwamba wewe ni tumaini lake pekee.
Tunaomba haya kwa jina la Yesu Kristo, Bwana wetu na Mwokozi. Amina.
Mpendwa Ushimen,
Tunajua kwamba unapitia wakati mgumu. Tunaomba Mungu akujalie nguvu ya kuvumilia majaribu haya.
Tunakuombea wewe na familia yako. Tunamwomba Mungu awape amani na faraja katika wokovu wake.
Tuamini kwamba Mungu yuko pamoja nawe na atakuja kukusaidia.
Tuko pamoja nawe katika maombi yetu.
Amina.
Kataa ndoa, baadhi ya mistari yake kumbe familia ipo.Vipi mkuu!?? Wife kaliwa nini!??
Usinisahau na mimi.Pole sana Ushimen ,, amini hili nalo litapita kadiri muda unavyosogea.. na mimi nakuweka kwenye sala zangu pia ili Mungu akufanyie njia pasipo na njia
Moyo unaniuma, pia najikuta nikitamani kulia lakini machozi hayataki kutoka.Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu.
Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi.
Nashkuru Mungu amenibariki familia yenye furaha na hakika najivunia kujiona mwenye bahati hii.
Yes, tumebarikiwa shelter na watoto wanasoma shule nzuri kwa kiwango chetu.
Si haba, tunabarikiwa mkate wa kila siku na hata baby walker zinazo kidhi udogo wa familia yetu ya watoto 8.
Lakini kuna wakatu Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, but we have to be strong.
So who are falling on our harms watupate tukiwa tumeimarika. Kwahili naona kwangu limekua gumu. Moyo unaniuma, pia najikuta nikitamani kulia lakini machozi hayataki kutoka.
Naomba msinishangae ndugu jamaa na marafiki, kwani hapa ndipo sehem sahihi kwangu ninayo weza kupata pumziko na faraja.
Baada ya kusema haya machache, niwaombe mtuombee kila mmoja kwa imani yake na hili ndilo ombi letu kwenu na Mungu awabariki sana.
Ebu ngoja nijaribu tena kupambana kama nitaweza kupata japo lepe la usingizi.
Usijali mkuu...ngoja nikuweke na wewe,, amini tu unalopitia linaenda kuwa sawa very soon MoisemusajiografiiUsinisahau na mimi.
[emoji173][emoji173][emoji173]Usijali mkuu...ngoja nikuweke na wewe,, amini tu unalopitia linaenda kuwa sawa very soon Moisemusajiografii
Lakini kuna wakatu Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, but we have to be strong[emoji17][emoji848][emoji419][emoji375]Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu.
Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi.
Nashkuru Mungu amenibariki familia yenye furaha na hakika najivunia kujiona mwenye bahati hii.
Yes, tumebarikiwa shelter na watoto wanasoma shule nzuri kwa kiwango chetu.
Si haba, tunabarikiwa mkate wa kila siku na hata baby walker zinazo kidhi udogo wa familia yetu ya watoto 8.
Lakini kuna wakatu Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, but we have to be strong.
So who are falling on our harms watupate tukiwa tumeimarika. Kwahili naona kwangu limekua gumu. Moyo unaniuma, pia najikuta nikitamani kulia lakini machozi hayataki kutoka.
Naomba msinishangae ndugu jamaa na marafiki, kwani hapa ndipo sehem sahihi kwangu ninayo weza kupata pumziko na faraja.
Baada ya kusema haya machache, niwaombe mtuombee kila mmoja kwa imani yake na hili ndilo ombi letu kwenu na Mungu awabariki sana.
Ebu ngoja nijaribu tena kupambana kama nitaweza kupata japo lepe la usingizi.
Mbona kuna mistari mizuri tu mkuu ,hasa kitabu cha mithali !!! Sio lazima kuamini dini ndio ikufundishe.We jamaa huaminigi dini na hii mistari ya bible umeijukia wapi au unatuchora
Mzee si ufungue nini kinachokusibu huenda hapa kuna mtu alishapitia the same exactly na jaribu na akapata njia so funguka mtoto wa kiumeHapa hamna code mkuu, nikwamba napitia majaribu ambayo yapo nje ya iwezo wetu, lakini kama familia tunamuomba Mungu atende kama itakavyo mpendeza.