CONTRARIAN
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 982
- 3,137
Mkuu Ingekua mpaka ujue tatizo ndio umuombee mtu basi kusingekua na sala za kuomba kuepushwa na matatizo.Mkuu pole lakini hujafunguka hasa ni kipi KIKUSIKITICHACHO? maana binafsi siwezi kukuombea pasipo kujua tatizo linalo umiza moyo wako.
Mzee wangu Ushimen Mungu akujalie upite katika hiki kipindi ambacho unapitia nimezoea kukuona mcheshi na utani mwingi sana.Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu.
Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi.
Nashkuru Mungu amenibariki familia yenye furaha na hakika najivunia kujiona mwenye bahati hii.
Yes, tumebarikiwa shelter na watoto wanasoma shule nzuri kwa kiwango chetu.
Si haba, tunabarikiwa mkate wa kila siku na hata baby walker zinazo kidhi udogo wa familia yetu ya watoto 8.
Lakini kuna wakatu Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, but we have to be strong.
So who are falling on our harms watupate tukiwa tumeimarika. Kwahili naona kwangu limekua gumu. Moyo unaniuma, pia najikuta nikitamani kulia lakini machozi hayataki kutoka.
Naomba msinishangae ndugu jamaa na marafiki, kwani hapa ndipo sehem sahihi kwangu ninayo weza kupata pumziko na faraja.
Baada ya kusema haya machache, niwaombe mtuombee kila mmoja kwa imani yake na hili ndilo ombi letu kwenu na Mungu awabariki sana.
Ebu ngoja nijaribu tena kupambana kama nitaweza kupata japo lepe la usingizi.
I'm so sorry brother.Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu.

Hi Okoth!Its been a long way though
Safii Sana The Best Comment Ever ❤️❤️❤️📌📌📌📌📌📌📌I'm so sorry brother.
Katika maisha kwa ujumla wake kila kitu kina pende mbili , upande usio mzuri na upande ulio mzuri .
Ukiweza kulifamu hilo hakuna hali yoyote itakayo kusumbumbua sana kwa vile wakati haudumu.
Kuna wakati unakuwa kwenye mazuri , huo wakati haudumu, unakuja wakati unakuwa kwenye mabaya, nao haudumu, hivyo unapokuwa kwenye wakati wowote uzingatie saa yoyote uta change kuelekea wakati wa namna nyingine.
Sote hatupendezwi na chochote kisicho tupa furaha, ndio maana huwa tunauzingatia sana wakati mbaya.
Binafsi huwa nadhani ni ile kukumbushwa nawe uwe unajali yoyote anaepitia changamoto kwa vile nawe kuna wakati utapitia changamoto na utatamani kupata hata mtu wa kukufariji.
Kwa ujumla pole ndugu, shika sana kuvumilia, jaribu pia kupuuza yale yasio na muhimu sana ambayo yaweza kuwa sababu moja wapo ya kukosa furaha, lakini pia unaweza ukafanya kitu kama kumtembelea mtu mwenye changamoto ili kumtia moyo, inaweza kuwa mfungwa gerezani, mgonjwa hospitali, ama yatima au mzee au mhitaji yoyote, au kwenda kwenye nyumba ya ibada hapo ukasali si kwa kujiombea wewe bali wengine, toa kabisa kujiombea wewe na familia bali fanya hivyo kwa wengine.
Na kuhakikisha ndugu yangu Ushimen kama ukifanya hivyo asubuhi jua halita zama kabla hujarelewa na amani, ukifanya hivyo jioni asubuhi haitafika kabla haujarelewe na furaha .
Yote ya yote Mungu asimame nawe ndugu yangu.
Anza kuswali saala tano kwa siku.
Kama siyo Muislam, shahadia uanze kwenda msikitini kusali.
Mwisho ukubali kuwa pesa haiwezi kukupa furaha.Ni maumivu ya moyo mama mkwe, na kwakua limekua kubwa na hatuwezi kukibeba kama binadam basi tumemuachua Mungu
Mkuu kila mtu anahaki ya kuchanganyikiwa hapa dunianiWe jamaa huaminigi dini na hii mistari ya bible umeijukia wapi au unatuchora
Ameein.Pole sana sana mwalimu, unajua huwa inaumiza mno kumuona mtu ambaye umezoea kumuona akiwa na furaha na mcheshi muda wote kuwa disappointed kiasi hichi..!!
Ninachoamini siku zote ni kuwa, kamwe Mungu hakupi jaribu kubwa kushinda uwezo wako, unapitia kile unapitia right now sababu He knows you're strong enough to handle it all..!!
tell your heart that, all is well, and every damn thing is gonna be just fine, wewe ni dhahabu mwalimu wangu, hivyo kamwe usiogope kupita kwenye moto, vuka kipindi hichi kwa ujasiri kwani unayemtumaini ni mkuu kuliko yote haya..!!🙏🙏
Huwa na soma post zako classmate Ushimen kimya kimya nakuona ni mmoja wa member wako very strong emotionally sijawahii kuona ukijokes kutafuta attention kiasi hiki hata mara moja...Naamini unapitiaa katika moja ya mitihani ambayo ukuitegemea katika maisha yako na unajihisi hauna majibu,Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu.