Najitolea bure kwa Idara za Usalama wa Taifa zote Barani Afrika katika Kuwatafutia Watu mahiri wa kufanya Kazi huko kwani hata Israel wameshanitumia

Kuna tofauti gani ya usalama wa Taifa letu na mgambo wa jiji.
 
Soo simple Kamanda Kachane Bango la Samia au kinda kinda picha za Samia ukiwa unajirekodi na kuitupia mahewa.
 
Kuna kitenge cha samia ndio tumeweka hapa kama pazia la choo chetu cha kaya huku Tandale, ila kuna miamba inakata kila siku inachambia, uwahi kabla hakijaisha.
 
Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa...

1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu
2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu
3. Awe na uwezo wa Kunyumbulika kutokana na Mazingira aliyonayo na kutokubali Watu Kumsifia Kiholela
4. Awe na Hisia ya Sita (Sixth Sense) Kiasili ambayo anayo Mbwa iliyo na Faida sana kwa wana Usalama
5. Mwenye Maadili ya Kuzaliwa nayo na yale ya Kufundishwa na Wazazi, Walimu na wana Jamii
6. Mtu mwenye Uroho wa kujua mambo mbalimbali ya Dunia (hasa ya Kitaarifa) na Kujifunza kwa haraka
7. Awe na Afya Njema ambayo itamuweka Fiti Kimajukumu hata Akistaafu na akiwa na Miaka 85

Tafadhali zingatia hapo neno Barani Afrika sasa Wewe Jipekenye na Kuwashwawashwa Kwako umaanishe unavyojua au unavyohisi Wewe kisha Uyakoge.
Umeyakanyaga....umetoa siri ya kambi, kazi hatukupi..!
 
Kuna kitenge cha samia ndio tumeweka hapa kama pazia la choo chetu cha kaya huku Tandale, ila kuna miamba inakata kila siku inachambia, uwahi kabla hakijaisha.
Rekodi itupie kwa hewa.
 
Rekodi itupie kwa hewa.
Unavyozidi kuchelewa utakuta Kitenge cha Samia kimebaki robo, wanachambia sijui muda gani, tulikaa kikao cha kaya tukakubaliana kila mtu aende na maji chooni, lakini kila kukucha kitenge kinapungua tu.

Ila nakuhakikishia kikiisha tutapandisha kingine kwa sababu ni choo cha kaya, lazima Kitenge cha Samia kining'inie mlango wa choo na bafu.

Siwezi kuchukua video kwasababu sina simu wala kamera, TV yenyewe tunaenda Manzese kwenye kumbi za makuti.
 
Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa...

1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu
2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu
3. Awe na uwezo wa Kunyumbulika kutokana na Mazingira aliyonayo na kutokubali Watu Kumsifia Kiholela
4. Awe na Hisia ya Sita (Sixth Sense) Kiasili ambayo anayo Mbwa iliyo na Faida sana kwa wana Usalama
5. Mwenye Maadili ya Kuzaliwa nayo na yale ya Kufundishwa na Wazazi, Walimu na wana Jamii
6. Mtu mwenye Uroho wa kujua mambo mbalimbali ya Dunia (hasa ya Kitaarifa) na Kujifunza kwa haraka
7. Awe na Afya Njema ambayo itamuweka Fiti Kimajukumu hata Akistaafu na akiwa na Miaka 85

Tafadhali zingatia hapo neno Barani Afrika sasa Wewe Jipekenye na Kuwashwawashwa Kwako umaanishe unavyojua au unavyohisi Wewe kisha Uyakoge.
Mbona umemalizia na mkwara😂
 
Sisi Tayari tunao, ndio hao wanaotisha watu club
 
lazima wabadilishe Mifumo yao yote kabisa, ikiwemo na kubadilisha utaratibu Wao wa RECRUITMENT ya Maafisa wao.

Hili ni jambo la lazima kabisa ambalo haliwezi kuepukika kwa Sasa katika Idara hiyo.
Ni Lazima Wabadilike ili kuendana na Mahitaji halisi ya Dunia ya dunia ya Sasa.

Mamlaka Kuu ya Ujasusi ya Marekani ya CIA Baada ya Mashambulizi makali Sana ya kigaidi yaliyofanyika katika Kituo Kikuu Cha Biashara Cha Dunia (WTC), Pentagon, n.k hapo tarehe 11 Septemba 2001, CIA walikiri kwamba kulikuwa na Mapungufu makubwa Sana kwenye Mifumo ya Utawala, Mifumo ya Kuajiri Maafisa wa Taasisi hiyo na kwenye Mifumo ya Kiutendaji ndani ya CIA hali ambayo ilisaidia Sana kutoa mwanya kwa Magaidi wa Al Qaeda chini ya Osama bin Laden kuweza kuishambulia Marekani kwa urahisi Sana.

Baada ya mashambulizi hayo ya kigaidi ya September Eleven, CIA ilifumuliwa na kisha kusukwa tena upya. Kwa sasa, Maafisa wa Idara hiyo ya CIA Wanaajiriwa kwa utaratibu wa kutoa Matangazo ya Ajira zao kwenye vyombo mbalimbali vya Habari. Hii inawasaidia kutoa wigo mpana zaidi wa kuwapata Watu/ Waajiriwa mbalimbali walio sahihi zaidi, wenye weredi katika fani tofaufi tofaufi wakiwa na mitazamo tofaufi tofauti kinyume na hali ilivyokuwa hapo awali kabla ya mashambulizi ya 'September Eleven.'
 
Back
Top Bottom