Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soo simple Kamanda Kachane Bango la Samia au kinda kinda picha za Samia ukiwa unajirekodi na kuitupia mahewa.Kuna tofauti gani ya usalama wa Taifa letu na mgambo wa jiji.
Kuna kitenge cha samia ndio tumeweka hapa kama pazia la choo chetu cha kaya huku Tandale, ila kuna miamba inakata kila siku inachambia, uwahi kabla hakijaisha.Soo simple Kamanda Kachane Bango la Samia au kinda kinda picha za Samia ukiwa unajirekodi na kuitupia mahewa.
Umeyakanyaga....umetoa siri ya kambi, kazi hatukupi..!Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa...
1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu
2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu
3. Awe na uwezo wa Kunyumbulika kutokana na Mazingira aliyonayo na kutokubali Watu Kumsifia Kiholela
4. Awe na Hisia ya Sita (Sixth Sense) Kiasili ambayo anayo Mbwa iliyo na Faida sana kwa wana Usalama
5. Mwenye Maadili ya Kuzaliwa nayo na yale ya Kufundishwa na Wazazi, Walimu na wana Jamii
6. Mtu mwenye Uroho wa kujua mambo mbalimbali ya Dunia (hasa ya Kitaarifa) na Kujifunza kwa haraka
7. Awe na Afya Njema ambayo itamuweka Fiti Kimajukumu hata Akistaafu na akiwa na Miaka 85
Tafadhali zingatia hapo neno Barani Afrika sasa Wewe Jipekenye na Kuwashwawashwa Kwako umaanishe unavyojua au unavyohisi Wewe kisha Uyakoge.
Rekodi itupie kwa hewa.Kuna kitenge cha samia ndio tumeweka hapa kama pazia la choo chetu cha kaya huku Tandale, ila kuna miamba inakata kila siku inachambia, uwahi kabla hakijaisha.
Unavyozidi kuchelewa utakuta Kitenge cha Samia kimebaki robo, wanachambia sijui muda gani, tulikaa kikao cha kaya tukakubaliana kila mtu aende na maji chooni, lakini kila kukucha kitenge kinapungua tu.Rekodi itupie kwa hewa.
Kwa hiyo Jf unaingia kwa kutumia Makuti Kamanda ?Siwezi kuchukua video kwasababu sina simu wala kamera, TV yenyewe tunaenda Manzese kwenye kumbi za makuti.
Niko internet cafe, hapa manzese darajani, karibu na tip-top.Kwa hiyo Jf unaingia kwa kutumia Makuti Kamanda ?
Mbona umemalizia na mkwara😂Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa...
1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu
2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu
3. Awe na uwezo wa Kunyumbulika kutokana na Mazingira aliyonayo na kutokubali Watu Kumsifia Kiholela
4. Awe na Hisia ya Sita (Sixth Sense) Kiasili ambayo anayo Mbwa iliyo na Faida sana kwa wana Usalama
5. Mwenye Maadili ya Kuzaliwa nayo na yale ya Kufundishwa na Wazazi, Walimu na wana Jamii
6. Mtu mwenye Uroho wa kujua mambo mbalimbali ya Dunia (hasa ya Kitaarifa) na Kujifunza kwa haraka
7. Awe na Afya Njema ambayo itamuweka Fiti Kimajukumu hata Akistaafu na akiwa na Miaka 85
Tafadhali zingatia hapo neno Barani Afrika sasa Wewe Jipekenye na Kuwashwawashwa Kwako umaanishe unavyojua au unavyohisi Wewe kisha Uyakoge.
Sisi Tayari tunao, ndio hao wanaotisha watu club
Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa...