Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
- Thread starter
-
- #81
Wakenya sijui wametuzidi wapi aiseeNikifanikiwa kuianzisha kampuni ya maana, lazima hawa watu wawepo kwenye menejimenti ya kampuni zangu:
1. Wahindi
2. Wakenya
KWA NINI?
1. Wana exposure kubwa
2. Wabunifu
3. Wachapa kazi
Huyo ulie mtaja Mbona sikuwai kumsoma..Wahindi wanajua kufanya management hasa hawatanii hiyo ni nature yao.. ni kama tunavyowasifia wachaga wakikuyu au wakika kwenye biashara.
We kama ulishasoma management chuo lazima ulisoma vitabu vya Gupta a father of management.
Nitafuatilia kiundani kwasababu yana ukweli mkubwa isitoshe muhisika hana tabia ya kupindisha.Hayo maneno sio ya kweli. So anasingiziwa.
Myahudi huyuhuyu anaye ishi kwa pesa za US? kamuajiri nani? Wewe umeajiriwa na myahudi sasa hivi?
Bu jibu swali hayo swali kuwa exposure au kutokuwa exposure ina kuhisu nini?Watu wengi hamna exposure hamjawahi kufanya kazi na wahindi, zaidi ya Kutumwa na wahindi
wanajua kuua nyani bila kuangalia usoni, hawana ubinasdamu na huruma ni wanyonyaji balaa ,so ukiwapa kazi lazima wakupe faida maana watawanyonya wafakazi na kukupa faida kubwa wewe tajiri. wazungu wana huruma wanajari maslahi na utu so kupata faida mara 1000ni nadraNaomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
jibu lipo hapa uzi ufungwe , wahindi hawana chochte cha maana tofauti na ukandamizaji, kama hawajawahi kukuajiri unaweza kuwasifiaSifa kuu za Wahindi (Kanjibai);
1. Excessive Nepotism (Undugu-nization mno).
2. Employees exploitation(Unyonyaji wa wafanyakazi), Bongo ni mfano halisi kwa Wafanyakazi waliowahi/wanaofanya kazi kwa Wahindi kwenye viwanda, taasisi au maduka.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
ElimuNaomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
Kwa upande wangu, hawa wasia, wamefunzwa Sana how to run business and win, how to inherit generations in weatheness...Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
eelewa kiini cha Uzi?jibu lipo hapa uzi ufungwe , wahindi hawana chochte cha maana tofauti na ukandamizaji, kama hawajawahi kukuajiri unaweza kuwasifia
wahiyo Kennedy aliuawa na wayahudi? Duuuu hizi story za kwenye kahawa hiziDon't limit your thinking. Unafikiri anayetawala US ni nani? Wayahudi waliokimbilia kule sababu ya kukataliwa Ulaya miaka ya 1800 na 1900 ndio industrialists wakubwa, wenye say kubwa nyuma ya pazia hata nani awe kiongozi wa US.
Ndio maana Kennedy aliyekataa nuclear race baada ya vita ya pili ya dunia alienda zake kuzimu. Ndio maana Biden na Trump wote wanaimba sifa na litania ya wayahudi kila mtu kwa wakati wake.
Ukianza kutumia internet au simu au technology, usije ukafikiria wale waganga wa kule milima ya upareni au Sumbawanga ndio wagunduzi.
Fuatilia kwa kina bila mihemuko, utagundua Israel iko pale sio sababu ya kina Netanyahu. Bali sababu ya wayahudi wengi nguvu na uwezo karibu dunia nzima.
Unajua hata yule aliyekuwa mmiliki wa Chelsea ni myahudi? Putin anamshangaa tu maana anajua mziki wake
Yes. Mtoa mada hawajui wahindi vizuriUm
eelewa kiini cha Uzi?
Trump hajaongea maneno yale, simkubali kabisa Trump lakini yale maneno ya kibaguzi hakuyaongea. Tena yale maneno yalikuwa yananasibishwa kwa Botha kwanza na waliwekwa waafrika tu, na hawakuwepo waarabu. Ila baadae mara yananasibishwa kwa Trump halafu wameongezwa na waarabu. Kote kwa Trump na Botha yamezushwa tu.Nitafuatilia kiundani kwasababu yana ukweli mkubwa isitoshe muhisika hana tabia ya kupindisha.
Minimize costs and maximize profitsHawana lolote zaidi ya kupunguza gharama kwa kuminya wafanyakazi kupitia malipo
Vipi kuhusu maneno hayo, na yenyewe hayana ukweli? Na kwanini humkubali Trump? Unavyojua wewe, ubaguzi ni nini na upo wa aina ngapi?Trump hajaongea maneno yale, simkubali kabisa Trump lakini yale maneno ya kibaguzi hakuyaongea. Tena yale maneno yalikuwa yananasibishwa kwa Botha kwanza na waliwekwa waafrika tu, na hawakuwepo waarabu. Ila baadae mara yananasobishwa kwa Ttump halafu wameongezwa na waarabu. Kote kwa Trump na Botha yamezushwa tu.
Ni maneno yaliyojaa ubaguzi tu. Watu tu labda na hasira zao wameamua kukaa chini na kutunga kisha wakawanasibishia akina Botha na Trump.
Are you sure with what you've written?!Tanzania tuna successfull entrepreneur kushinda Kenya, tunaishi maisha mazuri kuliko wao. kuajiriwa nje ya nchi sio sifa bali ni kufeli kwa Serikali, unafikiri Nchi kubwa zinajisifia raia wake kuajiriwa Nchi nyengine?
Kuwa na watu kama Bakhresa ni mara 100 bora zaidi kuliko kuzalisha madaktari na wasomi wengine wanao kwenda kutumikia nchi za watu wakati Nchi yako ina taabika.
Yaani kila mhindi ndiyo ufundi wao huo,akishakuja boss mhindi kazini kwenu,jua mtafanya kazi kama punda na marupurupu kupunguza,yaani hawajali efficiency ya factors of productionM
Minimize costs and maximize profits
K
wahiyo Kennedy aliuawa na wayahudi? Duuuu hizi story za kwenye kahawa hizi
India usije lfananisha na nchi yoyote Africa.Naaaaahhh. India ni masikini wa kutupwa, na sehemu kubwa ya nchi yao ina mazingira hovyo kuliko Tanzania.
Strategically gani unaongelea hapa? How to shit in an open field at daytime anonymously?