Naaaaahhh. India ni masikini wa kutupwa, na sehemu kubwa ya nchi yao ina mazingira hovyo kuliko Tanzania.
Strategically gani unaongelea hapa? How to shit in an open field at daytime anonymously?
India usije lfananisha na nchi yoyote Africa.
India ina smart people. India ni kweli imefeli ktk leadership ila kuna wahindi mmoja mmoja jama ZLATAN TATA wameibeba india.
India ina program za ku catch up kwenye adv techn kama quantum computing, space techn, semiconductor nk.
India ina uwekezaji mkubwa ktk Manufacturing industry kama gari, dawa, home appliances, motorbike, bycles, clothes nk.
India ina Military industry.
India in software industry.
India ina nuclear technology.
India imeachwa na china ila ndio 20yrs to come atakuwa mshindani wa China.
Wahindi wa kawaida sana wana innovate vitu vidogo vidoho vya kuwasaidia kutatua shida zao, dudi hamna innovation.
India itakuja kuwa super power kama watapunguza urasimu na caste system ila usiifananishe na Africa kabisa. Sisi hatuna hata pa kuanzia
Hemu niambie sisi tunaanzia wapi ili waau to catch up ? Hakuna infrastructure zozote.
Walipo india sisi itatuchukua miongo kufika mkuu. Imagine kuunda helicopter.
Kurusha chombo anga za mbali, Kuunda bom la nuclear.
Tuwape credit wahindi wamepiga hatua sana ktk science na teknolojia, masikini hata USA wapo.