Najiuliza hivi kwanini CEO wengi wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna kundi kubwa la wafanyakazi wahindi?

Najiuliza hivi kwanini CEO wengi wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna kundi kubwa la wafanyakazi wahindi?

Wahindi wanajua kufanya management hasa hawatanii hiyo ni nature yao.. ni kama tunavyowasifia wachaga wakikuyu au wakika kwenye biashara.

We kama ulishasoma management chuo lazima ulisoma vitabu vya Gupta a father of management.
Huyo ulie mtaja Mbona sikuwai kumsoma..
Nawatambua Hawa,
Max Weber, Frederick Taylor and Henri Fayol.

Bila kumsahau GODFATHER wa Management Peter Drucker
 
Myahudi huyuhuyu anaye ishi kwa pesa za US? kamuajiri nani? Wewe umeajiriwa na myahudi sasa hivi?

Don't limit your thinking. Unafikiri anayetawala US ni nani? Wayahudi waliokimbilia kule sababu ya kukataliwa Ulaya miaka ya 1800 na 1900 ndio industrialists wakubwa, wenye say kubwa nyuma ya pazia hata nani awe kiongozi wa US.
Ndio maana Kennedy aliyekataa nuclear race baada ya vita ya pili ya dunia alienda zake kuzimu. Ndio maana Biden na Trump wote wanaimba sifa na litania ya wayahudi kila mtu kwa wakati wake.
Ukianza kutumia internet au simu au technology, usije ukafikiria wale waganga wa kule milima ya upareni au Sumbawanga ndio wagunduzi.
Fuatilia kwa kina bila mihemuko, utagundua Israel iko pale sio sababu ya kina Netanyahu. Bali sababu ya wayahudi wengi nguvu na uwezo karibu dunia nzima.
Unajua hata yule aliyekuwa mmiliki wa Chelsea ni myahudi? Putin anamshangaa tu maana anajua mziki wake
 
Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee

Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
wanajua kuua nyani bila kuangalia usoni, hawana ubinasdamu na huruma ni wanyonyaji balaa ,so ukiwapa kazi lazima wakupe faida maana watawanyonya wafakazi na kukupa faida kubwa wewe tajiri. wazungu wana huruma wanajari maslahi na utu so kupata faida mara 1000ni nadra
 
Sifa kuu za Wahindi (Kanjibai);
1. Excessive Nepotism (Undugu-nization mno).
2. Employees exploitation(Unyonyaji wa wafanyakazi), Bongo ni mfano halisi kwa Wafanyakazi waliowahi/wanaofanya kazi kwa Wahindi kwenye viwanda, taasisi au maduka.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
jibu lipo hapa uzi ufungwe , wahindi hawana chochte cha maana tofauti na ukandamizaji, kama hawajawahi kukuajiri unaweza kuwasifia
 
Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee

Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
Elimu
 
Kwa upande wangu, hawa wasia, wamefunzwa Sana how to run business and win, how to inherit generations in weatheness...
Ila Kwa afrika, sy tamaduni Sana kurithishana Utajiri , wala kufundisha na Utajiri juu ya vizazi, bali baba akiwanacho, akifa yawezekana hata mali zake zikafa...
Hatuusishwi sana kwenye ni nini wazazi wanafanya, pia wazazi hawawaandai sana watoto kurithi...yaani ni gafla mzee kafa, na wewe kama zali unatajwa na mirathi kuwa ndiye..but wenzetu wanawahusisha na kuwapa nafas wakiwa hai..so mtu anajua mapema kuwa,, hii ni ya familia...inabd iendelee kwa mustakabali wa family..mfano Mo dewj
 
K
Don't limit your thinking. Unafikiri anayetawala US ni nani? Wayahudi waliokimbilia kule sababu ya kukataliwa Ulaya miaka ya 1800 na 1900 ndio industrialists wakubwa, wenye say kubwa nyuma ya pazia hata nani awe kiongozi wa US.
Ndio maana Kennedy aliyekataa nuclear race baada ya vita ya pili ya dunia alienda zake kuzimu. Ndio maana Biden na Trump wote wanaimba sifa na litania ya wayahudi kila mtu kwa wakati wake.
Ukianza kutumia internet au simu au technology, usije ukafikiria wale waganga wa kule milima ya upareni au Sumbawanga ndio wagunduzi.
Fuatilia kwa kina bila mihemuko, utagundua Israel iko pale sio sababu ya kina Netanyahu. Bali sababu ya wayahudi wengi nguvu na uwezo karibu dunia nzima.
Unajua hata yule aliyekuwa mmiliki wa Chelsea ni myahudi? Putin anamshangaa tu maana anajua mziki wake
wahiyo Kennedy aliuawa na wayahudi? Duuuu hizi story za kwenye kahawa hizi
 
Nitafuatilia kiundani kwasababu yana ukweli mkubwa isitoshe muhisika hana tabia ya kupindisha.
Trump hajaongea maneno yale, simkubali kabisa Trump lakini yale maneno ya kibaguzi hakuyaongea. Tena yale maneno yalikuwa yananasibishwa kwa Botha kwanza na waliwekwa waafrika tu, na hawakuwepo waarabu. Ila baadae mara yananasibishwa kwa Trump halafu wameongezwa na waarabu. Kote kwa Trump na Botha yamezushwa tu.

Ni maneno yaliyojaa ubaguzi tu. Watu tu labda na hasira zao wameamua kukaa chini na kutunga kisha wakawanasibishia akina Botha na Trump.
 
Trump hajaongea maneno yale, simkubali kabisa Trump lakini yale maneno ya kibaguzi hakuyaongea. Tena yale maneno yalikuwa yananasibishwa kwa Botha kwanza na waliwekwa waafrika tu, na hawakuwepo waarabu. Ila baadae mara yananasobishwa kwa Ttump halafu wameongezwa na waarabu. Kote kwa Trump na Botha yamezushwa tu.

Ni maneno yaliyojaa ubaguzi tu. Watu tu labda na hasira zao wameamua kukaa chini na kutunga kisha wakawanasibishia akina Botha na Trump.
Vipi kuhusu maneno hayo, na yenyewe hayana ukweli? Na kwanini humkubali Trump? Unavyojua wewe, ubaguzi ni nini na upo wa aina ngapi?
 
A
Tanzania tuna successfull entrepreneur kushinda Kenya, tunaishi maisha mazuri kuliko wao. kuajiriwa nje ya nchi sio sifa bali ni kufeli kwa Serikali, unafikiri Nchi kubwa zinajisifia raia wake kuajiriwa Nchi nyengine?

Kuwa na watu kama Bakhresa ni mara 100 bora zaidi kuliko kuzalisha madaktari na wasomi wengine wanao kwenda kutumikia nchi za watu wakati Nchi yako ina taabika.
Are you sure with what you've written?!
 
Naaaaahhh. India ni masikini wa kutupwa, na sehemu kubwa ya nchi yao ina mazingira hovyo kuliko Tanzania.

Strategically gani unaongelea hapa? How to shit in an open field at daytime anonymously?
India usije lfananisha na nchi yoyote Africa.
India ina smart people. India ni kweli imefeli ktk leadership ila kuna wahindi mmoja mmoja jama ZLATAN TATA wameibeba india.
India ina program za ku catch up kwenye adv techn kama quantum computing, space techn, semiconductor nk.
India ina uwekezaji mkubwa ktk Manufacturing industry kama gari, dawa, home appliances, motorbike, bycles, clothes nk.
India ina Military industry.
India in software industry.
India ina nuclear technology.
India imeachwa na china ila ndio 20yrs to come atakuwa mshindani wa China.
Wahindi wa kawaida sana wana innovate vitu vidogo vidoho vya kuwasaidia kutatua shida zao, dudi hamna innovation.
India itakuja kuwa super power kama watapunguza urasimu na caste system ila usiifananishe na Africa kabisa. Sisi hatuna hata pa kuanzia

Hemu niambie sisi tunaanzia wapi ili waau to catch up ? Hakuna infrastructure zozote.
Walipo india sisi itatuchukua miongo kufika mkuu. Imagine kuunda helicopter.
Kurusha chombo anga za mbali, Kuunda bom la nuclear.
Tuwape credit wahindi wamepiga hatua sana ktk science na teknolojia, masikini hata USA wapo.
 
Back
Top Bottom