Najivunia ushamba na ulimbukeni huu ulinipitia mbali

Namna nzuri kabisa ya kuishi
 
Mbona sasa umetuambia kuna tofauti gani na kupost
 
With all due respect, ulichoainisha haukifanyi kwingineko(I mean pompousness kwenye WhatsApp status) ndiyo literally umekifanya hapa JF. You just chose a different venue to show off, the degrees and straight As blah blah that's being pompous.
 
Hauko mbali na mimi ingawa mwenzangu umejisifia kinamna! Maana hayo madegree, gari kali, ma A ya form II ya mtoto wako kote huko ni kujisifia! Wacha hizo mkuu! Mimi mwenyewe sijawahi, check jana Wananchi wamepiga ball la kufa mtu watu wamepost weeee, mimi walaaaaa!!😁😁
 
Nimekusoma ndugu, "Innocent Bashungwa" uko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…