Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
Kifo kitamuumbuaUtashangaa baada ya miaka miwili ukasikia ana miaka 31
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo kitamuumbuaUtashangaa baada ya miaka miwili ukasikia ana miaka 31
Namna nzuri kabisa ya kuishiNaongezea hapo..
3. Kuvaa kila fasheni inayotoka mfano mwanaume kuvaa vikaptula vifupi, sendo na soksi. Au visuruali vifupi vya kubana mimi hiyo inipite tu.
4. Kuongea sana maneno mengi kama chiriku kila mada itayoanzishwa kujidai unaijua ni ushamba. Hii watu wa dar hapa mnahusika sana kwenye huu ushamba
5. Kutamka matusi kila sentensi au kila baada ya maneno machache kutia tusi iwe ni mtandaoni au ni mtaani ni ushamba.
6. Kupigana kwa sababu yoyote ile isipokua ya kuokoa maisha.
7. Kufakamia mipombe mpaka kuanza kuanguka anguka na kutapika ni ushamba.
Nilikua ibadaniKudadek hakuna kitu kama hicho .
Mbona juzi naanzisha uzi sa tatu ulikua ujibu..
Ukaja kujibu asubhi kabisa huko
Mbona sasa umetuambia kuna tofauti gani na kupostBaadhi ya mambo ambayo yakizidi sana huwa nayaona ushamba na ulimbukeni. Haya mambo mimi yamenipita mbali kabisa.
1. Kujipost WhatsApp status
Hata kama nitafanya jambo gani, hata kama nimepata nini cha mafanikio huwezi kukikuta status. Mwaka jana nimegraduate taaluma mbili tofauti lakini huwezi kukuta status. Acha status hata graduation sikuhudhuria(Japo sio ushamba)
Sijui nimenunua gari kali najisikia aibu sana kujipost. Hata picha tu ya gari sina, na zile zilizotumiwa na Mjapani nilishazifuta.
Kuna mdogo wangu alikuwa anapenda kupiga picha na gari anajipost. Nikamkataza.
Yule baby alikuwa anapenda kujiselfie na mimi halafu anajipost. Nikamkata kistaarabu tu baby don't do that. Hata kesho nikifanya harusi nadhani hakutakuwa na status.
Naona wenzangu wanapost matokeo ya watoto wao yaliyotoka jana. Mimi A tupu za wakwangu siwezi kuzipost, naona ulimbukeni. Ahadi ya zawadi niliyompa akipata A zote nitampatia, nitamtia moyo aongeze bidii na kumpeleka vacation ya kisima.
2. Kutumia elimu na kazi yangu kujiona bora
Nina mavyeti mengi tu lakini sio bora kuliko wengine. Sio bora kuliko mlinzi na mfagizi pale ofisini. Wakati wengine wakipita bila hata kumsalimia mlinzi na kusaini daftari getini. Mimi lazima nimjulie hali nijitambulishe. Hata akisema basi nenda tu, namwambia hapana nitasaini hapa na kule kwa Mkurugenzi nitasaini. Maana ndio utaratibu.
Tukiwa shamba mimi sio bora kuliko kibarua. Kwa hiyo msosi wa shamba utakula wote.
With all due respect, ulichoainisha haukifanyi kwingineko(I mean pompousness kwenye WhatsApp status) ndiyo literally umekifanya hapa JF. You just chose a different venue to show off, the degrees and straight As blah blah that's being pompous.Baadhi ya mambo ambayo yakizidi sana huwa nayaona ushamba na ulimbukeni. Haya mambo mimi yamenipita mbali kabisa.
1. Kujipost WhatsApp status
Hata kama nitafanya jambo gani, hata kama nimepata nini cha mafanikio huwezi kukikuta status. Mwaka jana nimegraduate taaluma mbili tofauti lakini huwezi kukuta status. Acha status hata graduation sikuhudhuria(Japo sio ushamba)
Sijui nimenunua gari kali najisikia aibu sana kujipost. Hata picha tu ya gari sina, na zile zilizotumiwa na Mjapani nilishazifuta.
Kuna mdogo wangu alikuwa anapenda kupiga picha na gari anajipost. Nikamkataza.
Yule baby alikuwa anapenda kujiselfie na mimi halafu anajipost. Nikamkata kistaarabu tu baby don't do that. Hata kesho nikifanya harusi nadhani hakutakuwa na status.
Naona wenzangu wanapost matokeo ya watoto wao yaliyotoka jana. Mimi A tupu za wakwangu siwezi kuzipost, naona ulimbukeni. Ahadi ya zawadi niliyompa akipata A zote nitampatia, nitamtia moyo aongeze bidii na kumpeleka vacation ya kisima.
2. Kutumia elimu na kazi yangu kujiona bora
Nina mavyeti mengi tu lakini sio bora kuliko wengine. Sio bora kuliko mlinzi na mfagizi pale ofisini. Wakati wengine wakipita bila hata kumsalimia mlinzi na kusaini daftari getini. Mimi lazima nimjulie hali nijitambulishe. Hata akisema basi nenda tu, namwambia hapana nitasaini hapa na kule kwa Mkurugenzi nitasaini. Maana ndio utaratibu.
Tukiwa shamba mimi sio bora kuliko kibarua. Kwa hiyo msosi wa shamba utakula wote.
kwema mkuuVincenzo Jr njoo huku mshamba mwenzangu
Eti shetani kaw malaikaNilikua ibadani
Mambo hubadilika, nakusihi uanze ibada kijanaEti shetani kaw malaika
Hauko mbali na mimi ingawa mwenzangu umejisifia kinamna! Maana hayo madegree, gari kali, ma A ya form II ya mtoto wako kote huko ni kujisifia! Wacha hizo mkuu! Mimi mwenyewe sijawahi, check jana Wananchi wamepiga ball la kufa mtu watu wamepost weeee, mimi walaaaaa!!😁😁Baadhi ya mambo ambayo yakizidi sana huwa nayaona ushamba na ulimbukeni. Haya mambo mimi yamenipita mbali kabisa.
1. Kujipost WhatsApp status
Hata kama nitafanya jambo gani, hata kama nimepata nini cha mafanikio huwezi kukikuta status. Mwaka jana nimegraduate taaluma mbili tofauti lakini huwezi kukuta status. Acha status hata graduation sikuhudhuria(Japo sio ushamba)
Sijui nimenunua gari kali najisikia aibu sana kujipost. Hata picha tu ya gari sina, na zile zilizotumiwa na Mjapani nilishazifuta.
Kuna mdogo wangu alikuwa anapenda kupiga picha na gari anajipost. Nikamkataza.
Yule baby alikuwa anapenda kujiselfie na mimi halafu anajipost. Nikamkata kistaarabu tu baby don't do that. Hata kesho nikifanya harusi nadhani hakutakuwa na status.
Naona wenzangu wanapost matokeo ya watoto wao yaliyotoka jana. Mimi A tupu za wakwangu siwezi kuzipost, naona ulimbukeni. Ahadi ya zawadi niliyompa akipata A zote nitampatia, nitamtia moyo aongeze bidii na kumpeleka vacation ya kisima.
2. Kutumia elimu na kazi yangu kujiona bora
Nina mavyeti mengi tu lakini sio bora kuliko wengine. Sio bora kuliko mlinzi na mfagizi pale ofisini. Wakati wengine wakipita bila hata kumsalimia mlinzi na kusaini daftari getini. Mimi lazima nimjulie hali nijitambulishe. Hata akisema basi nenda tu, namwambia hapana nitasaini hapa na kule kwa Mkurugenzi nitasaini. Maana ndio utaratibu.
Tukiwa shamba mimi sio bora kuliko kibarua. Kwa hiyo msosi wa shamba utakula wote.
upo nje ya mada, Akili zako ziko kwenye kinyeo auHauko kama alivyokuwa Jiwe, Hongera sana!
"NIKIWA RAIS MTALIMIA MENO"
Matusi na Uchawi ndio nguzo pekee ya masikiniupo nje ya mada, Akili zako ziko kwenye kinyeo au
Nimekusoma ndugu, "Innocent Bashungwa" uko vizuriBaadhi ya mambo ambayo yakizidi sana huwa nayaona ushamba na ulimbukeni. Haya mambo mimi yamenipita mbali kabisa.
1. Kujipost WhatsApp status
Hata kama nitafanya jambo gani, hata kama nimepata nini cha mafanikio huwezi kukikuta status. Mwaka jana nimegraduate taaluma mbili tofauti lakini huwezi kukuta status. Acha status hata graduation sikuhudhuria(Japo sio ushamba)
Sijui nimenunua gari kali najisikia aibu sana kujipost. Hata picha tu ya gari sina, na zile zilizotumiwa na Mjapani nilishazifuta.
Kuna mdogo wangu alikuwa anapenda kupiga picha na gari anajipost. Nikamkataza.
Yule baby alikuwa anapenda kujiselfie na mimi halafu anajipost. Nikamkata kistaarabu tu baby don't do that. Hata kesho nikifanya harusi nadhani hakutakuwa na status.
Naona wenzangu wanapost matokeo ya watoto wao yaliyotoka jana. Mimi A tupu za wakwangu siwezi kuzipost, naona ulimbukeni. Ahadi ya zawadi niliyompa akipata A zote nitampatia, nitamtia moyo aongeze bidii na kumpeleka vacation ya kisima.
2. Kutumia elimu na kazi yangu kujiona bora
Nina mavyeti mengi tu lakini sio bora kuliko wengine. Sio bora kuliko mlinzi na mfagizi pale ofisini. Wakati wengine wakipita bila hata kumsalimia mlinzi na kusaini daftari getini. Mimi lazima nimjulie hali nijitambulishe. Hata akisema basi nenda tu, namwambia hapana nitasaini hapa na kule kwa Mkurugenzi nitasaini. Maana ndio utaratibu.
Tukiwa shamba mimi sio bora kuliko kibarua. Kwa hiyo msosi wa shamba utakula wote.
Chuki na wivu je?Matusi na Uchawi ndio nguzo pekee ya masikini