Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kama tupo pamoja vile๐Pia kingine wewe ni mnafiki sana ๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tupo pamoja vile๐Pia kingine wewe ni mnafiki sana ๐๐๐๐
Watu mna vyeti vya unafuki humu ๐๐๐Kama tupo pamoja vile๐
Ni kweli kabisa.Kila mtu anafanya kile kinachomfanya afurahi, huwezi kuita hobby za wenzako "ushamba" , ni kitu watu wanapenda kushare furaha na huzuni zao na jamii inayowazunguka na wala sio ushamba kama ulivyoiita mtoa hoja.
Labda ungesema tu hauna interest na kujitupia mtandaoni ila don't term others as washamba kisa wewe hufanyi.
Pole sana unahitaji msaada wa kisaikolojia tena wa haraka sana ndugu kwasababu una tatizo la msongo wa mawazo ulio pitiliza na ukizembea kupata ushauri wa kisaikolojia utaishia kujitoa uhai wako.Baadhi ya mambo ambayo yakizidi sana huwa nayaona ushamba na ulimbukeni. Haya mambo mimi yamenipita mbali kabisa.
1. Kujipost WhatsApp status
Hata kama nitafanya jambo gani, hata kama nimepata nini cha mafanikio huwezi kukikuta status. Mwaka jana nimegraduate taaluma mbili tofauti lakini huwezi kukuta status. Acha status hata graduation sikuhudhuria(Japo sio ushamba)
Sijui nimenunua gari kali najisikia aibu sana kujipost. Hata picha tu ya gari sina, na zile zilizotumiwa na Mjapani nilishazifuta.
Kuna mdogo wangu alikuwa anapenda kupiga picha na gari anajipost. Nikamkataza.
Yule baby alikuwa anapenda kujiselfie na mimi halafu anajipost. Nikamkata kistaarabu tu baby don't do that. Hata kesho nikifanya harusi nadhani hakutakuwa na status.
Naona wenzangu wanapost matokeo ya watoto wao yaliyotoka jana. Mimi A tupu za wakwangu siwezi kuzipost, naona ulimbukeni. Ahadi ya zawadi niliyompa akipata A zote nitampatia, nitamtia moyo aongeze bidii na kumpeleka vacation ya kisima.
2. Kutumia elimu na kazi yangu kujiona bora
Nina mavyeti mengi tu lakini sio bora kuliko wengine. Sio bora kuliko mlinzi na mfagizi pale ofisini. Wakati wengine wakipita bila hata kumsalimia mlinzi na kusaini daftari getini. Mimi lazima nimjulie hali nijitambulishe. Hata akisema basi nenda tu, namwambia hapana nitasaini hapa na kule kwa Mkurugenzi nitasaini. Maana ndio utaratibu.
Tukiwa shamba mimi sio bora kuliko kibarua. Kwa hiyo msosi wa shamba utakula wote.
Hakuna ni wewe tuu inabidi u muteHivi hakuna namna ya ku disable WhatsApp status isiwepo kabisa??
Easy easy buddy ๐คฃ๐คฃ๐คฃmbona hapa kimsingi umepost tayari ?๐คฃ maana tumejua possessions zako
Hiyo sound nimejiua via twitter huko tik tok sina account na wala sina mpango na hiloIla jamiiforums huwa mnajifanya hampendi baadhi ya vitu afu mwishoo wa siku mnakuja kujiumbua wenyewe,
mfano TikTok afu wote mnaifahamu sound ya kaongo yeye Sasa sijui mmeifahamia wapi??
Sio normal io hali uliyo nayo yani sio normal kabisa ni una matatizo ya akili mkuu apo inabidi upate matibabu ya kisaikolojia ili io trauma bond ikutoke kichwani na uanze kufurahia maisha halisiMkuu wewe kama mimi tuu
Kuna wanangu niliomaliza nao Telecom pale Cive walikua watu wa ku show off status ila mii wala
Nulipo piga electrical south africa wala hakuna ndugu aliyekua anajua an ni mtu wa kimya kimya..
Juzi nimeenda dubai lakini cha ajabu sijapiga picha hata kidogo. Mpaka mdogo angu anashangaa huyu blaza vipi ila naona normol tuu..
Maisha ya mtandaoni kujianika mi ndo siwezi kabisa aiseee
Hii ni nature niliyonayo toka advance nilipo piga A ya phy na chem wala sikua mtu wa show off zaidi zaidi waliokuwa and anapost matokeo yangu ni wale ndgu wa karibu tuu..
What is trauma bondSio normal io hali uliyo nayo yani sio normal kabisa ni una matatizo ya akili mkuu apo inabidi upate matibabu ya kisaikolojia ili io trauma bond ikutoke kichwani na uanze kufurahia maisha halisi
Na ata mtu ambaye hana furaha na maisha yake kiasi cha kushindwa kuyafurahia uyo lazima anaelekea kua kichaa kwasababu ya msongo wa mawazo na ukitaka kujua kuwa anaenda kua kichaa ndio kama hivyo yeye anajidai hataki ku Post lakini anaumia kuona wengine wana post sasa kama hapendi kupost kuna haja gani ya yeye kuongelea mada izo si akae kimya ili iwe serious kabisa yuko nje ya mitandaoKuonesha onesha kila kitu au mafanikio ni moja ya mental illness...
Tunaenda shule ili tujifunze na mwisho wa siku tukipimwa na mitihani tufaulu tena tufaulu vyema. Sasa kama wajibu ni kufaulu, kwa nini unataka tujue umefaulu wakati hilo ndio lengo la mtahiniwa yeyote?
Ni muunganiko wa mambo ambayo umeyapitia kwenye ukuaji wako ambayo yanaweza kuwa ya unyanyasaji na ndio yamefanya ubongo wako unashindwa kufurahia maisha halisiWhat is trauma bond
Ila Mh. OKW SUNZU BOBAN umegraduate nini isije kuwa umeilamba ile CPA original.Baadhi ya mambo ambayo yakizidi sana huwa nayaona ushamba na ulimbukeni. Haya mambo mimi yamenipita mbali kabisa.