joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Soo.... nyie si ndio mmekalili mpira magoli. Mpira wa kudekezana na VAR huwezi fananisha na enzi za Messi kwenye ubora wake.Umeandika ujinga GERRAD , LAMPARD
haujui kuangalia mpira sio haujui mpira
Naunga mkono hoja na hizo beki bamia za Spain, anapita anaenda zake😂Wachezaji kama Lamine pale Tandika wapo wengi tu
KabisaNaunga mkono hoja na hizo beki bamia za Spain, anapita anaenda zake😂
🚮🚮🚮 You are trashNdiyo maana chadema ina dharaulika
Ulikuwa unamjua hazard akiwa na miaka 16Naunga mkono hoja na hizo beki bamia za Spain, anapita anaenda zake😂
Soo.... nyie si ndio mmekalili mpira magoli. Mpira wa kudekezana na VAR huwezi fananisha na enzi za Messi kwenye ubora wake.
Huyo Lamine hata Hazard bado hajamfikia.
Hazard baada ya majeraha Madrid dhidi ya Paris Saint-Germain mwaka 2019 kiwango kilishukaUlikuwa unamjua hazard akiwa na miaka 16
Yamal yule anacopy tuu, staili yake hata roben ameshapita hukoSidhani ila naamini kipawa alichopewa Messi na Mungu ndicho alichopewa yamal
Vile mtu anaweza kusema amezaliwa 2005 bila kutaja mwaka aliozaliwa.This kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders
Vission + composure 💯
Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥
Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanjaView attachment 3571252
Ila amesema ukweliNdiyo maana chadema ina dharaulika
Kwahiyo Gerrard na Lampard unawachukuliaje? Wewe mpira umeanza kufuatilia juzi hichi ulichoandika tu inaonekana umeanza fuatilia mpira 2022Umeandika ujinga GERRAD , LAMPARD
haujui kuangalia mpira sio haujui mpira
Hawa ndio wale mashabiki wa arsenal wameamua kutoa stress kwa kufanya mijadala isiyokuwa na uwiano hata kwa mbali tu.Kenge wewe!! Ungekuwa karibu ningekupiga makofi kabisa.
Yaani Yamal awe talented kupita Messi ?
Mkishalewa viroba mnakuja kujiandikia tu humu ndani , wewe mpira umeanza kuangalia juzi ?
Nenda kaangalie semi final ya UEFA barca vs Madrid 2011 alichokifanya mule katika mechi mmoja Bado ni Bora kuliko misimu yote ya Yamal.
Yaani ningekuwa karibu wewe dogo ningekukata makofi kabisa
😀😀😄 Huyu dogo angekuwa karibu naapa ningempiga makofi kabisa ili kumsaidia sio kumuonea.Hawa ndio wale mashabiki wa arsenal wameamua kutoa stress kwa kufanya mijadala isiyokuwa na uwiano hata kwa mbali tu.
Kuna ila faulo aliwafunga Liverkuku pale Camp NOU ukimwambia mtu ile ni AI wala hataweza kubisha, yule mtu alizaliwa kwa ajili ya soka na Antonella Rocuzzo tu basi😀😀😄 Huyu dogo angekuwa karibu naapa ningempiga makofi kabisa ili kumsaidia sio kumuonea.
Messi match za el classico enzi za Mourinho ziligeuka vita kabisa kina Ramos, pepe na Marcelo wanacheza ngumi kabisa lakini Messi Bado anaiwasha pamoja na rafu zote zile.
Halafu kanakuja kadogo kamoja kanalopoka tu , Legacy ya Messi tutailinda kwa wivu mkubwa sana burudani aliyotupa Messi as player inatosha kupiga huyu dogo mpaka akashindwa kutembea
Van djik anakuambia walienda dressing room akakuta Allison Becker na wenzake wanaangalia wanajiuliza amefanyaje mbona kama kuna vitu haviwezekaniki!Kuna ila faulo aliwafunga Liverkuku pale Camp NOU ukimwambia mtu ile ni AI wala hataweza kubisha, yule mtu alizaliwa kwa ajili ya soka na Antonella Rocuzzo tu basi
This kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders
Vission + composure 💯
Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥
Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanjaView attachment 3571252
Kuna msemo huku ughaibuni(a very popular phrase).Watoto wa juzi tu ndio wataichanganga hii mbuzi na CR7. Mnaongelea nini nyie?. CR7 kweli umlinganishe na hii filigisi?. Mapenzi yenu kwa mesi yasiwafanye muwe vipofu