joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Haijalishi akiwa na miaka mingapi,ila ni bora kuliko yeye.Ulikuwa unamjua hazard akiwa na miaka 16
Asipoelewa kwa video hizi achana nae.View attachment 3571479
View attachment 3571478
View attachment 3571476
View attachment 3571475
View attachment 3571473
Lamine Yamal is a wonderful footballer and currently one of the world's best but Messi is the GOAT.
Visca Barca🔥🔥🔥🔥
Nakubaliana nawewe kuwa Messi ndio Mungu wa soka.Muda utaongea ila kwa Sasa Messi ndo mchezaji Bora tangu Mpira wa miguu uanzishwe .
Sasa hauoni apo Messi alikuwa ana advantage. Maana alikuwa ana watu kibao wa kumsaidia.Messi amecheza na wachezaji ambao naweza sema walikuwa bora kuliko Lamine, Sneijder,Herny, Pirlo, Xavi,Iniesta,Busquet, Kross, Modric, Scholes, Rooney, Gerrard, Lampard, Makelele,Ruben,Ribbery,Naymer nk hawa wote ni bora kuliko Lamine, ila Messi alikuwa bora zaidi yao.
Unamzungumzia Uncoachable player, Messi anaweza akawa false no 9 akadeliver ,anaweza akawa namba kumi play maker brain ya timu akadeliver, Lamine hii kitu hawezi msimbebeshe mzigo mzito.
Nikitizama sasa hivi hamna talents za kitisha kama kipindi cha nyuma,Lamine mzuri ila bado ana vingi vya kujifunza.
Umemsahau neymar hapo.. ni kiboko zaidi kwenye skills, ila hakuuchukulia mpira kwa adabu sana, shida alikuwa mtu wa show off zaidi kuliko maelezo hiki kimemuharibia sana, ila kwa skills ni bora zaidi ya hao wote.Yamal = smart dribbler
Ronaldinho = magician
Messi = dribbling perfection
Hata messi yule alikuwa ni wa moto, shida tu alikuwa kwenye timu ambayo ina watu wanaibeba mgongoni, timu ilikuwa ni ya gaucho ma etoo..Nakubaliana nawewe kuwa Messi ndio Mungu wa soka.
ila dogo Lamine wa miaka 18 anamzidi Messi wa miaka 18.
Muda utaongea.
Ingawa sidhani kama dogo atamfikia messi
Umeisoma comment yangu vizuri? Hebu irudie, nimetaja watu wa kwenye kizazi cha Messi aliokuwa akichuana nao kwenye tuzo.Sasa hauoni apo Messi alikuwa ana advantage. Maana alikuwa ana watu kibao wa kumsaidia.
Akikimbia kina iniesta wanamuona wanampenyezea pasi, akipiga pasi zake kina Suarez wanaziconvert kuwa assist.
Saivi Yamal yuko na kina feran tores na Rashford ambao wanakosa goli na kipa.
Pasi nyingi za Yamal wanazichezea tu ila zingekuwa assists.
Naenda na neymar bila kupepesa macho, neymar ni more skillfull kuzidi hao wote wawili, shida tu alikuwa na mbwembwe nyingi mnoo mpaka anaacha mambo ya msingi, ila gaucho basic kwanza kisha burudani inakuja ndani ya basic..Ukiambiwa uchague most skilfull player kati ya JJ Okocha,Neymar na Gaucho unaenda na nani?
Mimi; Okocha,Gaucho kisha Neymar.
Gaucho ndio mpira wenyewe mkuu ingawaje alicheza kwa kipindi kifupi ila jamaa alikua anajua mpira haswa mimi ni Madrid lakini yule mwamba anajua boli..Kwa kipi,?
Yaani sisi tunaangalia kati ya Fere Gora na Fally nani mkali, anakuja mtu anasema Christian BellaNaenda na neymar bila kupepesa macho, neymar ni more skillfull kuzidi hao wote wawili, shida tu alikuwa na mbwembwe nyingi mnoo mpaka anaacha mambo ya msingi, ila gaucho basic kwanza kisha burudani inakuja ndani ya basic..
Mfano, pasi inatakiwa iende sehemu atapiga no look pass au kisigino na mpira utafika kule ama wakati mwingine skilss zake alizitumia kusimplify mpira
Neymar na okocha walikuwa na burudani ambayo inauwa jambo la msingi, sehemu ambayo anatakiwa aachie mpira ye anaung'ang'ania, anaweza kumsubiri mtu ampige kitobo ama kanzu.. hii inaleta burudani ila inauwa burudani kamili
Soma ilipoanziaYaani sisi tunaangalia kati ya Fere Gora na Fally nani mkali, anakuja mtu anasema Christian Bella
Yamal anaogopa beki ?Labda kama umezaliwa 2008 ndo unaruhusiwa kuongea huu upuuzi. Tuliomuona Messi bado kinda tunasema huyo mzee hafai hajawahi kuogopa beki yeyote duniani tena alicheza na beki katili sana spain Ramos,Pepe,Miranda ,Godin ,Roberto carlos ila angalia bwana mdogo yamal beki kama Mendes na Cucurella mabeki sio katili alikua anaogopa hata kwenda.
Euro Spain match ngumu alikuwa anaumua naniHaijalishi akiwa na miaka mingapi,ila ni bora kuliko yeye.
Ila ukitaka turudi kwenye umri based on his position, Fabrigas bora kuliko huyo maana aliibeba Arsenal kwenda Fainal ya UEFA,akiwa na umri mdogo.
Nilikuwa natafuta hii comment.Ronaldinho Gaucho ndo hajapata mpinzani hadi leo
Naona watu wanamsahau Ronaldinho Gaucho.Hata messi yule alikuwa ni wa moto, shida tu alikuwa kwenye timu ambayo ina watu wanaibeba mgongoni, timu ilikuwa ni ya gaucho ma etoo..
Ila yamal, timu ipo mgongoni mwake, kaikuta haina star..
Angemkuta messi kwenye ubora wake asingepata nafasi hii