Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

Mwanaume ukitaka mafanikio basi owa mchaga achana na hizi ngonjera.

Tena hata hadithi za wachaga wa machame ni wale wa zamani ndio wana kashfa ya kuuwa waume zao lakini hiki kizazi jipya kipo tofauti sana.

Msipende kuowa wanawake akili bongo lala.
Kaka achana na wamachame, mimi nimeishi moshi, wanaume wachaga wanaotoka maeneo mengine pele moshi wanaogopa hata kudate na mmachame, sio kuoa kudate tu wanaogopa
 
Kaka achana na wamachame, mimi nimeishi moshi, wanaume wachaga wanaotoka maeneo mengine pele moshi wanaogopa hata kudate na mmachame, sio kuoa kudate tu wanaogopa
Hayo ni mambo ya kihistoria, hata Wakurya walikuwa na sifa mbaya ya kupiga wanawake, wahaya umalaya n.k,

Lakini hayo yamebaki kuwa mambo ya kihistoria tu.
 
Hayo ni mambo ya kihistoria, hata Wakurya walikuwa na sifa mbaya ya kupiga wanawake, wahaya umalaya n.k,

Lakini hayo yamebaki kuwa mambo ya kihistoria tu.
Kaka wewe inaelekea uchagani hujakaa, nakuhakikishia hakuna mchaga anayeishi Moshi na sio mmachame, anaoa mwanamke wa Machame
 
"Tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa"

Wewe mwenyewe ona hapo juu, ni kichaa
Huyu Bwana anaoa kila siku, fuatilia nyuzi zake na anatoa mahali nono😁
 
wanawake wa kaskazini wengi wamelelewa ktk mifumo dume unahitaji akili na nguvu sana, Nadhani wewe ndo umeolewa hapo hao wanaitwaga mamanzi sio wale wa vijora vya rangi ya chuichui, siku hizi wasukuma wanawaoa sana wachagga kuna vitabia vinaendana.
Kwamba vijora vya rangi ya chui chui.....vimejaa sana mikoa ya kusini huku Lindi na mtwara
 
Kaka wewe inaelekea uchagani hujakaa, nakuhakikishia hakuna mchaga anyeishi moshi na sio mmachame, anaoa mwanamke wa machame
Hilo nalifahamu kwa Moshi wamachame Mara nyingi wanaowana wenyewe kwa sababu tayari wana name calling wanawaita Wapalestina.

Lakini Mimi zipo huko Nina maana mambo ya kihistoria kwa Sasa haryana nafasi.

Kwa mfano ni nadra kuna mchana kaowa mpare au msambaa, mziguwa na Mbondei kuowa Mdigo haiwezekani.

Kuna vitu siyo sheria ila ni vya kihistoria, hebu funguwa ubongo wako ufunguke.
 
Pole kaka.
Chukua hatua za kisheria maana kakusudia kuua huyo.

Sasa hao Wachagga ni cha mtoto mbele ya Wapare hususan Wagweno. Ni wachache sana wamefikiwa na Neema ya Mungu
 
Ni mchagga au Mmachame [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]?
 
Sawa πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„
 
Umeandika ka umeshikiliwa panga nahuyo mwanamke Pole sana
 
Ulivamia miba usiwalaumu kaskazin. Ulikurukupa ukaoa mchawi
 
Tuachieni dada zetu, ukiwa na akili ndogo, fikra finyu, uvivu na uzembe ukioa mchaga utalia kila siku.
Acheni tuwaoe wenyewe
 

Hadi umeamua kuleta mambo majimaji, kweli unazeeka vibaya. Basi tusilumbane sana, but if you know you know!
 

Ni nadra kuona mchaga na mpare kuoana? Una uhakika?
 
Malizia icho chakula kwanza mkuu upate nguvu ya kuhadithia teh teh teh
 
Huo uandishi wa uwongo umetumia content shabihishi kuhusu wachaga ila hii ni story ya uwongo mtupu, haina mashiko yoyote, umekutana na mtu wiki mbili, ukatambulishwa fasta, ndani muda mfupi wewe ni tajiri na umelishwa sumu, Acheni kick za hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…