Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Kwani huwa mnafeli wapi? Mnataka tuwaoe auu?? Kupindisha asili ya Mungu ni kosa kubwa mnafanya wanaume, asili yetu ni kukaa kutunza mume na kuzingatia watoto malezi mazuri, swala la mwanamke kuwa na pesa zaidi ya mwanaume uo ni ugonjwa ukimbieni wanaume, yaan mwanamama akikuzidi pesa basi kubali kua mkia si kichwa tena.
Wachache sana tutakubali kuwazidi pesa na tukawakabidhi kadi za benk na paswed zake, tena kwangu mimi ni kwa mashart mana mnasemaga mmeumbiwa umalaya kama sitahidi hata kwa mbali kaharufu ka ukitombi basi hata salary yangu utakua unadroo wewe kidume then tunapanga matumiz.
Hilo kosa mnaloendelea nalo kwa kisingizio cha maisha magumu mtateseka sana ndugu zangu.
Hatujawahi kua na huruma na pesa zetu kuwapa wanaume tena wanaume wapenda chini, unaoa bado unaishi kama uko single.
USIOE MWANAMKE ANAEKUZIDI KIPATO.
 
Mjinga ni wewe. Kama ulimshauri akooe anunue kiwanja, maanake kiwanja ni chake. Unalalamika nini.

Umngemshauri akope mnunue kiwanja na siyo anunue kiwanja. [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…