Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Iweje dada mkubwa?Inabidi iwe hivo otherwise ni majanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iweje dada mkubwa?Inabidi iwe hivo otherwise ni majanga
Madhaifu kama yapi hayo?Jana tu nimetoka kulala na mke wa mtu. Ameniahidi atanizalia watoto wawili.
Amesema madhaifu mengi sana ya mumewe.
Kama mwanamke ameolewa na anagongwa nje, kuna haja gani ya kuoa?
So usipopata mke/usipooa, Mungu hakusikii?Imeandikwa; “ apataye mke apata kitu chema, tena atapata kibali machoni pa Mungu.
Na maombi yake hayatazuiliwa.
Mwehu hatakiwi kupetiwa kwa akili. Mwehu muoneshe wehu, mwenye hekima muoneshe hekima. Hiyo ndiyo haki!Usikatae ndoa bali ishi nao kwa akili sana...
Endeleeni kupiga nyeto,au kuchukua malaya wapo na wamejaa tele.
Kiukweli wanawake hawaeleweki wanataka nini View attachment 2543088
Kabisa...la sivyo watalia daily📌📌📌Bila kusahau sauti iwe ya kiume ukifanya maamuz otherwise ni majanga
Leo ulirudi mapema job?Nimelala sana jioni leo
Muda wa kawaida tuLeo ulirudi mapema job?
leo nimekupa likeUkitaka kumtawala mwanamke unatakiwa uwe na pesa ya kuweza kumwambia ondoka kwangu, au Rudi kwangu....la sivyo u fail. Always mwanamke ni mbinafsi sana
Mwanamke wa sasa hatawaliki, Na mwanaume akijifanya ana shingo ngumu atauwawa na mali ataiacha hapahapa mwanamke anajiseviaUkitaka kumtawala mwanamke unatakiwa uwe na pesa ya kuweza kumwambia ondoka kwangu, au Rudi kwangu....la sivyo u fail. Always mwanamke ni mbinafsi sana
Sawa mkuuMwanamke wa sasa hatawaliki, Na mwanaume akijifanya ana shingo ngumu atauwawa na mali ataiacha hapahapa mwanamke anajisevia
Mkeo sio ndugu yako, wala sio mamako mzazi, ni mwanamke mmoja tu ambae hawez kukuletea miyeyusho, ni mamako mzazi baaaasi, wanawake ni opportunist mzee, katembea na gap...wanawake kila kitu kwao ni kamari yan wako hivyo usiwazingatie saaaaana watakuumiza...Kweli mkuu nimeamini
Kwani huwa mnafeli wapi? Mnataka tuwaoe auu?? Kupindisha asili ya Mungu ni kosa kubwa mnafanya wanaume, asili yetu ni kukaa kutunza mume na kuzingatia watoto malezi mazuri, swala la mwanamke kuwa na pesa zaidi ya mwanaume uo ni ugonjwa ukimbieni wanaume, yaan mwanamama akikuzidi pesa basi kubali kua mkia si kichwa tena.Wana MMU,
Naandika huu uzi kwa masikitiko na kujuta bora ile pesa ningenywea tu bia na kula kitimoto.
Nina mke na watoto, mke alikopa hela bank na kazini kwao akanunua uwanja. Ushauri huu nilimpa mimi
Nikasimamia ujenzi nyumba ikasimama ingawa kuna vitu vilikuwa havijakamilika nikaanza kuingia gharama kumalizia nyumba.
Kipato changu cha kuunga unga ila kwa kutambua nyumba ni ya familia tuna watoto na ndoa tumefunga nikaona niendeleze ukarabati.
Sasa bwana umetokea mgogoro mdogo mimi na mke wangu kanitamkia hapa sijachangia chochote kodi yote anakula yeye.
Basi nimeamua nianze mdogo mdogo kujitoa kwenye hii nyumba.
Mchango wangu hajauthamini kabisa mwanamke amekua mbinafsi ghafla sana.
Wakuu tuwe makini kuwekeza hela na muda wako kwenye mali ya mwanamke ni kujichimbia kaburi.
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
... Ila wenye ndoa ndio hao kama mtoa mada.Mwanaume rijali hawezi kataa ndoa ...upinde ndio mna ajenda ya kataa ndoa .
Mjinga ni wewe. Kama ulimshauri akooe anunue kiwanja, maanake kiwanja ni chake. Unalalamika nini.Wana MMU,
Naandika huu uzi kwa masikitiko na kujuta bora ile pesa ningenywea tu bia na kula kitimoto.
Nina mke na watoto, mke alikopa hela bank na kazini kwao akanunua uwanja. Ushauri huu nilimpa mimi
Nikasimamia ujenzi nyumba ikasimama ingawa kuna vitu vilikuwa havijakamilika nikaanza kuingia gharama kumalizia nyumba.
Kipato changu cha kuunga unga ila kwa kutambua nyumba ni ya familia tuna watoto na ndoa tumefunga nikaona niendeleze ukarabati.
Sasa bwana umetokea mgogoro mdogo mimi na mke wangu kanitamkia hapa sijachangia chochote kodi yote anakula yeye.
Basi nimeamua nianze mdogo mdogo kujitoa kwenye hii nyumba.
Mchango wangu hajauthamini kabisa mwanamke amekua mbinafsi ghafla sana.
Wakuu tuwe makini kuwekeza hela na muda wako kwenye mali ya mwanamke ni kujichimbia kaburi.
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Dah! Pesa pesa ,mali mali...... Tumekwisha 😱😱😱Ukitaka kumtawala mwanamke unatakiwa uwe na pesa ya kuweza kumwambia ondoka kwangu, au Rudi kwangu....la sivyo u fail. Always mwanamke ni mbinafsi sana