Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Nikisema mademu wa chuo ni uchafu msibishe. Mungu anakupenda hukupata gono, ukimwi na hukuangukia kwenye uteja
Si kweli, conclusion yako haiko sahihi mkuu, ni kweli pale Mabibo hostel Kuna uchafu mwingi sana...ila si kweli kwamba wasichana wote wa vyuoni wana tabia mbaya........hadi mabikra wapo najua wengi mtapinga
 
Pole sana.
Je, pia umewahi kushiriki mapenzi kinyume cha maumbile wakati huo uko chuo?
 
Nimependa ulivyomaliza hiyo para ya mwisho..

But usifikiri haya mnafanya mkiwa vyuoni tu, haya popote yanafanyika maana ni hulka ya wanawake kuiga iga vitu na kuwa na tamaa ya vitu.
 
You are too generic. Unazungumza mambo mengi hujamaliza hili umedandia hili. Hostel hazina tatizo, tatizo ni wewe na tabia zako. Watu wamekaa hostel miaka na miaka na hawasagani kama wewe unavyoona fahari!

Kwahiyo mtoto akiwa nyumbani hasafirishi madawa ? havuti bangi ? hasagani ? hatoi mimba? Huko chuo anapoenda uko nae matakoni muda wote? Wacha kujinasibisha Udsm na usagaji wako. Nyumbani pia udsm walikuwa wanakushawishi uwasage wadada wa kazi.?

Uandishi wa kiparody huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…