Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Hiyo ni kweli,vyuoni ndio lango la machafu yote..unakuta binti kwao alikua anachungwa..akifika chuo ni utawala wa manyani...haulizwi na mtu.! Ni mwendo wa kujaribu kila kitu.
 
Ni makundi tu wala sio girls wote walioko chuo ni washenzi.

Ukiingia chuo ukapokelewa na kundi flani lazma uingie huko, kama ulidhani ukienda chuo ukipata boom ni full bata baasi lazima na wewe uingie huko, kama ulitegemea ukifika chuo utakua sistaduu na utakua na boy muhandsome sana baasi ukifika chuo lazima uonjwe na kila mtu.

Chuo sio sehemu sahihi kwa wanawake. Ilitakiwa wao waishie form 4 tu, inawatosha labda wale wale wa zamani ila wa sasa form 4 tu inawatosha.
 
Sometimes kutamka mambo magumu hayo ni ujasiri pia.

Ila hilo la kusagana na beki tatu mmmh, aibu nimeona mimi
Na ule ushamba wa beki 3 sizani kama anaweza hii kitu

Madem wa kijijin wakiguswa na madem wenzao kwa michezo ya hivyo huwa wanajihis aibu sana na anaweza hata kutoroka
 
Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
Mkuu nikupe mfano, Linnah msanii baba yake ni mchungaji (sina uhakika lakini), ila jaribu kuingia hata insta yake naimani utajifunza jambo.

Kuzaliwa kwenye familia ya dini sio excuse ya kutofanya dhambi.
 
Chai hii, Tena haina sukari
Inaweza ikawa chai, ila Mabibo Hostel siyo sehemu ya kuichukulia poa poa kwa miaka hiyo.

Nilishawahi kuishi mwaka 1 pale Block D. Kiukweli ilinilazimu kupakimbia. Sijui kwa miaka ya sasa. Ila zamani palikuwa pako moto sana.
 
chuo noma sana yani unaweza kuchakata hata wanne kwa siku moja kwakweli ni MKungu tu anaingiliaga kati vinginevyo tungekua wengi wetu parapanda zingeshalia siku nyiiiingiiiiiiii.
 
Mkuu nikupe mfano, Linnah msanii baba yake ni mchungaji (sina uhakika lakini), ila jaribu kuingia hata insta yake naimani utajifunza jambo.

Kuzaliwa kwenye familia ya dini sio excuse ya kutofanya dhambi.
Hajafikia levo za huyu mleta maada, huyu ni zaidi ya sherwani yaan anasafirisha heroine, anatoa mimba Tena kasema nyingi😀😀😀 analoga yaani mshirikina (HAPANA linah hafiki hapo)
 
Hongera kwa kuwa jasiri kusema na kuweka wazi uovu wako. Wengi humu tumefanya maovu mabaya pengine zaidi ya hayo uliyosema. Wapo walioshiriki katika mauaji,kuiba,lakini wapo kimyaa utazani wachungaji. Jinsi unavyoendelea kusema ndivyo Mungu atakavyokusamehe.
 
Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
Waliozaliwa kwenye familia ya dini wengi wao ndiyo wanatumbukia sana kwenye ulevi na umalaya yani ni mara mia walio tokea kwenye familia ya kawaida wanaweza wasipotee sana, Cha umuhimu wazazi tusiwafunge kamba sana watoto wetu maana wakienda chuo kamba zinakuwa zimefunguka kwaiyo wanakula kulinga na urefu wa kamba.
 
upo kwa ndoa halafu bado hisia za usagaji zipoo DUhhhh. Kwa hiyo kuna mda unamwona mumeo ka mwanamke mwenzioo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…