Legrema2050
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 606
- 708
Marinda yapo kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ule ushamba wa beki 3 sizani kama anaweza hii kituSometimes kutamka mambo magumu hayo ni ujasiri pia.
Ila hilo la kusagana na beki tatu mmmh, aibu nimeona mimi
Yupoje huyo wa kawaida?Utajua hujui mzee, oa mwanamke wa kawaida
Si mshamba wa sio slay queen.Yuko in betweenYupoje huyo wa kawaida?
Deja vuHii comment kama niliwahi kukutananayo sehemu, tena humu humu.
Ahaa kumbe kama mimi. Basi sawa.Si mshamba wa sio slay queen.Yuko in between
Mkuu nikupe mfano, Linnah msanii baba yake ni mchungaji (sina uhakika lakini), ila jaribu kuingia hata insta yake naimani utajifunza jambo.Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi
Inaweza ikawa chai, ila Mabibo Hostel siyo sehemu ya kuichukulia poa poa kwa miaka hiyo.Chai hii, Tena haina sukari
Njoo nikuwowe mrembo maana umekidhi vigezoAhaa kumbe kama mimi. Basi sawa.
Deja vu
Nakuja mume.Njoo nikuwowe mrembo maana umekidhi vigezo
Hajafikia levo za huyu mleta maada, huyu ni zaidi ya sherwani yaan anasafirisha heroine, anatoa mimba Tena kasema nyingi😀😀😀 analoga yaani mshirikina (HAPANA linah hafiki hapo)Mkuu nikupe mfano, Linnah msanii baba yake ni mchungaji (sina uhakika lakini), ila jaribu kuingia hata insta yake naimani utajifunza jambo.
Kuzaliwa kwenye familia ya dini sio excuse ya kutofanya dhambi.
Sio mtu. Ni hiyo hali ya kuisi kitu ulishakiona kablaNdio nani?
Hongera kwa kuwa jasiri kusema na kuweka wazi uovu wako. Wengi humu tumefanya maovu mabaya pengine zaidi ya hayo uliyosema. Wapo walioshiriki katika mauaji,kuiba,lakini wapo kimyaa utazani wachungaji. Jinsi unavyoendelea kusema ndivyo Mungu atakavyokusamehe.Ukiwa kama mzazi naomba tu usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.
Nilipokuwa kuwa chuoni, UDSM niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba.
Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo.
Nikiwa pale ndipo nilijifunza usagaji, kupo very addictive. Imenichukua miaka mingi kuweza kuishinda dhambi hiii kwani hata nyumbani licha ya kwamba niko kwenye ndoa, nilikuwa nawashawishi wasichana wangu wa kazi, nawafundisha mchezo huo Huku nikiwalipa donge nono kwa kuniburudisha na kunitunzia Siri.
Mbali ya kusagana bado nilikuwa na Mabwana wengi tu nikiwa chuo. Chuoni nilijifunza ulevi, uvutaji sigara na bangi na mambo mengine.
Licha ya kwamba nimekulia kwenye familia ya Wacha Mungu, nikiwa chuo nikijifunza ushirikina. Nikajifunza maisha ya kwenda kwa waganga ili kupata dawa za mvuto kwa wanaume.
Chuo nilitoa mimba nyingi sana. Nilikuwa mlevi wa pesa, nilikuwa tayari kufanya lolote ili niwe na pesa.
Nimeshawahi kusafirisha madawa ya kulevya mara kadhaa, nashukuru sikukamatwa.
Wazazi, watoto wenu huko vyuoni sio watakatifu kama wanavyoonekana. Wengi wanaharibika wakiwa chuoni.
Kama hamna umuhimu wa binti Yako kukaa hostel, kaa naye nyumbani ili awe salama.
Waliozaliwa kwenye familia ya dini wengi wao ndiyo wanatumbukia sana kwenye ulevi na umalaya yani ni mara mia walio tokea kwenye familia ya kawaida wanaweza wasipotee sana, Cha umuhimu wazazi tusiwafunge kamba sana watoto wetu maana wakienda chuo kamba zinakuwa zimefunguka kwaiyo wanakula kulinga na urefu wa kamba.Mi mwenyewe nimeishtukia yaani uzaliwe kwenye familia ya dini halafu ufanye dhambi next level near to Mr devel himself....no punguza tangawizi