Nakazia swaumuTigo vipi
Asome ili iweje wakati WaLIMu wapenda papuchi za Bure wako kibao?Ulikuwa unasoma saa ngapi?
UmejuajeNikisema mademu wa chuo ni uchafu msibishe. Mungu anakupenda hukupata gono, ukimwi na hukuangukia kwenye uteja
Du jiniasi nafunguka ....kama unetoka huko na sasa unachapa injili basi ujue umeruka mkojo na kukanyaga [emoji117][emoji90]Yesu ameshanitoa huko, sasa nachapa injili
Jiniasi nasema miaka 4 ya mwanamme ni sawa sawa na mwaka 1 kwa mwanamke ....hii kanuni ya kijiniasi ndiyo inayo waumiza na kuwasumbua wanaume wengi washindwe kuwatambua wanawake...hivyo usibishe kuhusu kubadilika kwa mwanamke ...mwanamke ukipoteana naye mwaka mmoja basi ukija kukutana naye usije jidanganya kuwa ndiye yule uliye mjua mwaka mmoja uliopita ...utakuja kujutaNdani ya miaka mitatu uuze ngada,uvute sigara,bangi, usagane,udange at the same time uhudhurue lectures na ugraduate? Jf story za kutunga zimezidi bora kuhamia quora.
[emoji16][emoji16][emoji16] lakini sio wote, kuna mahali na papuchi yako utakwama tuAsome ili iweje wakati WaLIMu wapenda papuchi za Bure wako kibao?
Hakika[emoji16][emoji16][emoji16] lakini sio wote, kuna mahali na papuchi yako utakwama tu
Nainga mkono kanuni ya jiniasi LwivaJiniasi nasema miaka 4 ya mwanamme ni sawa sawa na mwaka 1 kwa mwanamke ....hii kanuni ya kijiniasi ndiyo inayo waumiza na kuwasumbua wanaume wengi washindwe kuwatambua wanawake...hivyo usibishe kuhusu kubadilika kwa mwanamke ...mwanamke ukipoteana naye mwaka mmoja basi ukija kukutana naye usije jidanganya kuwa ndiye yule uliye mjua mwaka mmoja uliopita ...utakuja kujuta
Nikisema mademu wa chuo ni uchafu msibishe. Mungu anakupenda hukupata gono, ukimwi na hukuangukia kwenye uteja
NIMEPATA NAFASI YA KUFANYA KAZI PALE KWA MIAKA MITATU KWA KAZI MAALUM.Nikisema mademu wa chuo ni uchafu msibishe. Mungu anakupenda hukupata gono, ukimwi na hukuangukia kwenye uteja
Wanawake wasomi ni vimeoNIMEPATA NAFASI YA KUFANYA KAZI PALE KWA MIAKA MITATU KWA KAZI MAALUM.
NILICHOGUNDUA LECTURERS, TUTORS WA PALE HAWAOI WAKE WENYE ELIMU YA CHUO.
ππππHuyu sasa ndio Wife Material au Material Wife
Pepo mchafuHuyu sasa ndio Wife Material au Material Wife
Uchafu ni uchafu tu, haijalishi unaufanya na naniSometimes kutamka mambo magumu hayo ni ujasiri pia.
Ila hilo la kusagana na beki tatu mmmh, aibu nimeona mimi