Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

Ndani ya miaka mitatu uuze ngada,uvute sigara,bangi, usagane,udange at the same time uhudhurue lectures na ugraduate? Jf story za kutunga zimezidi bora kuhamia quora.
Jiniasi nasema miaka 4 ya mwanamme ni sawa sawa na mwaka 1 kwa mwanamke ....hii kanuni ya kijiniasi ndiyo inayo waumiza na kuwasumbua wanaume wengi washindwe kuwatambua wanawake...hivyo usibishe kuhusu kubadilika kwa mwanamke ...mwanamke ukipoteana naye mwaka mmoja basi ukija kukutana naye usije jidanganya kuwa ndiye yule uliye mjua mwaka mmoja uliopita ...utakuja kujuta
 
Nainga mkono kanuni ya jiniasi Lwiva
 
Binafi, naomba nikupongeze kwa kuwa muwazi. Naamini utasaidia wazazi na walezi wengi kuwa makini na vijana wao. Pia hata vijana wanaweza kujifunza jambo.
Hapo kwa wadada wa kazi aisee, umewasababishia matatizo makubwa kwani kuacha hyo michezo ni vigumu sana. Muhimi fanya toba na jaribu kutoa elimu kwa wengi zaidi ili kuweza kusaidia kizazi hiki.
 
Back
Top Bottom