Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

Mkuu mimi jana tu nimekutana na classmate sijaonana nae tangu mwaka 2012(tunamaliza form four), Kapendeza sanaaa ila kaniambia ameolewa na jamaa aliyemuoa ni mdau alikuwa advance pale school kwetu kipindi sisi tupo cha pili yeye aikuwa cha tano. Now anafanya kazi CRDB mkoa ninaofanya kazi. Na demu anafanya kazi mkoani kwangu hapahapa naona analeta mazigazi mpaka namuonea huruma msela.
 
Wewe utakuwa kwenye list
 
Kwani walio olewa wao hawapendi starehe? Waume walio oa wanaviburi sana ikiwa wao wanachepuka kisha kwa wake zao wanaleta hadithi kibao acha wasaidiwe.
Kwa hio unaruhusu wachapwe sio
 
Back
Top Bottom