Haiwezekani mkuu, kuanzia 1997 walinzi walikua wa kampuni mama ambayo iliitwa PLACEDOM kabla ya mwaka 2000 kuitwa KMCL.Inawezekana. Nilikuwa pale 2000 hadi 2006 nikasepa, walinzi walikuwa waajiliwa wa KMCL na baadhi yao walikuwa wanaishi Kakola
Ulikuwa na umri gani wakati huo?Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu. Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu. Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Fungua chako ulipe 10k per dayKama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Na kila ijumaa anagawa hela 'kwa wahitaji' wenye ushungi pale kwakeKama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Maisha ndio yanayolazimisha na matajiri ndio wanatumia advantage hiyoNi kweli elfu4 ni ndogo ila ukweli ni kwamba hakuna aliyelazimishwa
Atakua alipunguzwa au kusitishiwa mkataba akapewa kifuta jasho cha million mbili.Sasa cha kujutia hapo ni kipi???
Hakuna aliyelazimishwa aende kufanya kibarua kwa Bakhresa.Kama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Hello Ushimen,Haiwezekani mkuu, kuanzia 1997 walinzi walikua wa kampuni mama ambayo iliitwa PLACEDOM kabla ya mwaka 2000 kuitwa KMCL.
Sikuzile kampuni mama ilikua inawaajiriwa wachache sana zaidi palikua na sub contractors kama SKANSKA walio kata Box cut kwaajili ya under ground, Bynecut walio endeleza Underground Development, Ruc waliokua shaft Sinkers, Noremco walioweka slubs zote na hata wakatihuo Process Plant na cctv haikua imejengwa.
Wakati ule walibzi wengi walikua Non Camp residents.
Punguza lawama mkuu, usipende kulala mikaBaadhi ya manager wa kiafrika kwenye NGO za nje huwa ni wakuda kuliko wazungu mfano unaweza ukatuma maombi ya kazi Mara nyingi sifa unazo hatua zote vigezo vyote umefuata achana na kuajiliwa hautwi kwenye usaili wanajificha kwenye kichaka cha short list.πππ
Ubaya hulipwa kwa wema. ndiyo Busara zenyewehongera ya nn wakati hata huo mgodi wanatuibia?madini yetu hakuna tunachoambulia
milioni 10 tu uzime camera? bora hata hukuzima aiseeHongera sana kwa uaminifu wako....
Nahisi hauku muelewa Ali maanisha camera Moja Ina watch camera ingine ikiwa na maana....kila kamera na mlinzi wake...... Yaan camera zinavyo setiwa Kila camera inamchunga mwenzake...Hii sio kweli mkuu, sababu kwa idadi ya camera zilizopo Bulyanhulu pekee basi walizi wangekua wengi zaidi ya wafanyakazi. Na hata control room ingekua kubwa kuliko administration block
Andika lugha unayoijua tu ndugu. Ndio kiingereza gani hapo umeandika?Good people are still exists
Nimewai siti mbele dirishani...
Watu kama nyinyi huwaga mpo kwenye jamii.....ujuaji mwingi....ππππAndika lugha unayoijua tu ndugu. Ndio kiingereza gani hapo umeandika?
Cha mtu mavi, usiwaze kuiba...Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu. Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu. Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
KABISA KABISA !!!!Hongera sana hiyo itakuja kukulipa kabla hujafa