OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
poa nimekusoma, am waiting for response! tunatumia text, niliweka msisitizo nikidhani hujaniona, ila sio kwamba sina subra.Narudia tena nitakujibu nikiwa na wasaa wa kukujibu kama tatizo lako ni la dharura wahi hosp iliyo karibu yako!Wewe mwenyewe huna utashi wa kufikiri kama unatakiwa uwe na subira?
Je mguu una maumivu yoyote?unaongezeka joto?unavimba?
Muhimbili wapo bibie!asakuta same could you please contribute on this case!
Una fungus kwenye kucha unahitaji terbinafine(oral antifungal) na penlac upake kwenye kucha!Kila la kheriMkuu gorgeousmimi kucha zangu za miguu vidole vya kati zinatatizo LA (kubungua/kuoza) ila linakuja na kupotea. Kwa sasa lipo kama picha hapo chini inavyoonyesha. Nini tatizo? Nitumie dawa gani ?
Inatumika kutibu colic kwa vichanga ina active ingredient inayoitwa simeticone ambayo inasaidia kupunguza gas tumboni!gorgeousmimi naomba kuifahamu dawa hii infacol, huwa inatibu nini kwa watoto?
Naomba umalize tiba ulopatiwa kwanza kisha ndo ujichunguze kama bado una tatizo.Unajuaje kama una minyoo?umepima haja kubwa!naomba kuuliza! ndani ya 2 zilifuatana nilipima maralia nikapata dawa! nikapima choo na mkojo nikapata dawa lakn bado najisikia kusumbuliwa na tumbo lenye minyoo maana nakaa na njaa mda mwingine wakati nimekula mara najihisi kichefuchefu kichwa kusweat sana tatizo langu litakua nini??
Mazoezi mkuu na milo bora jaribu hilo kwanza!Dawa nzuri ya kupunguza uzito
Hello again,Hilo tatizo linaendana na kutoka udenda/ugavu na inaweza kusababishwa na kuongezeka kwa production ya mate au kupungua kwa uwezo wako wa kumeza au kuzuia mate mdomoni.Hali hio inaweza kusababishwa na vitu vingi kamapoa nimekusoma,am waiting for response!tunatumia text,niliweka msisitizo nikidhani hujaniona,ila sio kwamba sina subra.Mungu akubariki
Wahi hospitali mkuu hali ya mgonjwa inaonekana si nzuri!Anatakiwa achukuliwe vipimo vya damu na achekiwe mguu.Ana kisukari?Mkuu gorgeousmimi kuna Ndugu yangu kapasha shinda mguuni kwenye ankle , shida yenyewe ni alipata kitu kama kipele fasta fasta ile eneo limekuwa like kamwagiwa Maji ya moto panaungua Na ngozi inababuka Na mguu umevimba yaani ukiangalia panaogopesha sana ni kitu gani hicho Na atumie dawa gani?
Thnx...stay blessed!!Muhimbili wapo bibie!
Hilo linasababishwa na ulaji ulokithiri wa animal protein na kutokwenda haja ndogo vya kutosha.Animal proteins kama samaki,mayai,nyama,maini yana purines ambayo inavunjwavunjwa na kuwa uric acid kwenye mkojo.Vitu vinavyoweza kusababisha mawe kwenye mafigo ni:DR hivi ni tiba ipi nzuri kwa mtu aliyekua na vijipande vya mawe katika figo na mtu kama huyu ana hitajika asitumie vyakula gani ili kuweza kutatua tatizo na nini chanzo cha huu ugonjwa.......