Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Narudia tena nitakujibu nikiwa na wasaa wa kukujibu kama tatizo lako ni la dharura wahi hosp iliyo karibu yako!Wewe mwenyewe huna utashi wa kufikiri kama unatakiwa uwe na subira?
poa nimekusoma, am waiting for response! tunatumia text, niliweka msisitizo nikidhani hujaniona, ila sio kwamba sina subra.

Mungu akubariki
 
Mkuu gorgeousmimi kucha zangu za miguu vidole vya kati zinatatizo LA (kubungua/kuoza) ila linakuja na kupotea. Kwa sasa lipo kama picha hapo chini inavyoonyesha. Nini tatizo? Nitumie dawa gani ?
1427373322448.jpg
 
Last edited by a moderator:
naomba kuuliza! ndani ya 2 zilifuatana nilipima maralia nikapata dawa! nikapima choo na mkojo nikapata dawa lakn bado najisikia kusumbuliwa na tumbo lenye minyoo maana nakaa na njaa mda mwingine wakati nimekula mara najihisi kichefuchefu kichwa kusweat sana tatizo langu litakua nini??
 
gorgeousmimi naomba kuifahamu dawa hii infacol, huwa inatibu nini kwa watoto?
 
Last edited by a moderator:
Aibu ni ugonjwa wa kibiolojia au ni tatizo la kurithi? Ni njia gani ya kuondokana na aibu?
 
Mkuu gorgeousmimi kucha zangu za miguu vidole vya kati zinatatizo LA (kubungua/kuoza) ila linakuja na kupotea. Kwa sasa lipo kama picha hapo chini inavyoonyesha. Nini tatizo? Nitumie dawa gani ?
Una fungus kwenye kucha unahitaji terbinafine(oral antifungal) na penlac upake kwenye kucha!Kila la kheri
 
Last edited by a moderator:
naomba kuuliza! ndani ya 2 zilifuatana nilipima maralia nikapata dawa! nikapima choo na mkojo nikapata dawa lakn bado najisikia kusumbuliwa na tumbo lenye minyoo maana nakaa na njaa mda mwingine wakati nimekula mara najihisi kichefuchefu kichwa kusweat sana tatizo langu litakua nini??
Naomba umalize tiba ulopatiwa kwanza kisha ndo ujichunguze kama bado una tatizo.Unajuaje kama una minyoo?umepima haja kubwa!
 
Mkuu gorgeousmimi kuna Ndugu yangu kapasha shinda mguuni kwenye ankle , shida yenyewe ni alipata kitu kama kipele fasta fasta ile eneo limekuwa like kamwagiwa Maji ya moto panaungua Na ngozi inababuka Na mguu umevimba yaani ukiangalia panaogopesha sana ni kitu gani hicho Na atumie dawa gani?
 
Naomba kuuliza nina tatizo la vipele vidogo kama vichunus vinavyotokea kifuan na mgongon na napovikamua havitoi chochote zaid ya majmaj tu na vinakauka na kuacha makovu meus na nimetumia dawa aina nyingi ila vinaisha na vinajirudia tena je nitumie tiba gan mkuu
 
poa nimekusoma,am waiting for response!tunatumia text,niliweka msisitizo nikidhani hujaniona,ila sio kwamba sina subra.Mungu akubariki
Hello again,Hilo tatizo linaendana na kutoka udenda/ugavu na inaweza kusababishwa na kuongezeka kwa production ya mate au kupungua kwa uwezo wako wa kumeza au kuzuia mate mdomoni.Hali hio inaweza kusababishwa na vitu vingi kama
  • matumizi ya dawa kama clozapin,clonazepam,carbidopa/levodopa au
  • stomatitt(infection kwenye mucosa ya mdomo),
  • Gastroesophagel reflux disease(GERD) au
  • infection kwenye mdomo/koo.
Nakushauri uende kwa daktari ukachekiwe reflex zako za kumeza ka zipo sawa.Kitu kingine ni kwamba mdomo ukiwa wazi una stimulate salivary glands kuproduce mate zaidi na ndio maana ukila ukiongea unameza zaidi...hio inapelekea mate kuongezeka hasa ukilala mdomo wazi!
 
Mkuu gorgeousmimi kuna Ndugu yangu kapasha shinda mguuni kwenye ankle , shida yenyewe ni alipata kitu kama kipele fasta fasta ile eneo limekuwa like kamwagiwa Maji ya moto panaungua Na ngozi inababuka Na mguu umevimba yaani ukiangalia panaogopesha sana ni kitu gani hicho Na atumie dawa gani?
Wahi hospitali mkuu hali ya mgonjwa inaonekana si nzuri!Anatakiwa achukuliwe vipimo vya damu na achekiwe mguu.Ana kisukari?
 
DR hivi ni tiba ipi nzuri kwa mtu aliyekua na vijipande vya mawe katika figo na mtu kama huyu ana hitajika asitumie vyakula gani ili kuweza kutatua tatizo na nini chanzo cha huu ugonjwa.......
Hilo linasababishwa na ulaji ulokithiri wa animal protein na kutokwenda haja ndogo vya kutosha.Animal proteins kama samaki,mayai,nyama,maini yana purines ambayo inavunjwavunjwa na kuwa uric acid kwenye mkojo.Vitu vinavyoweza kusababisha mawe kwenye mafigo ni:
  • Calcium oxalate and phosphate stones:Hii inatokea sana kwa wanaume inahusiana na thyreoidsim.Kuongezeka kwa madini ya calcium kunasababishwa na hyperparathyreoidism.Parathyroid glands ziko nne kwenye thyroid glands mbele ya shingo.Kazi ya hizo glands ni kuzalisha homoni inayoitwa parathyroideahormone.Kazi ya hii hormone ni kuthibiti viwango vya madini ya calcium mwilini.Hii hormone ikiwa inakuwa released kwa wingi inasababisha kiwango cha calcium kuongezeka na huchukuliwa kutoka kwenye mifupa.Hali hii huongeza kiwango cha calcium kinachokuwa realsed.Calcium kutoka kwenye digestive tract inajiunga na oxalate kutoka kwenye vyakula kama spinachi,nuts na kuzuia oxalate isiende kwenye dam baadala yake inaenda kwenye mkojo na kutengeneza mawe.Tiba ya calciumoxalat na phosphate stones ni hydrochlorthiazides/supplements za magnesium citrate/calcium citrate
last ned (2).jpg
  • Calcium/magnesium/ammoniumphosphate concrements inaweza kusababishwa na U.T.I. Tiba ni metenamin +ascorbic acid(vitamin C).Chemotherapy inaweza kutumika pia kwenye baadhi ya kesi!
  • Uric acid/ureastones:Zinahusiana na GOUT.Tiba hapa ni allopurinol pamoja na sodiumhydrogencarbonate/calcium citrate ili kusaidia mkojo uwe alkaline na kuzuia risk ya precipitation.
  • Cystine stones:Hii inahusiana na na metabolic disorder kusababisha kuongezeka kwa cystine kwenye mkojo.Hawa wanashauriwa wanywe vimiminika vya kutosha,dawa ni penicillamin
 
Mkuu Mimi nataka kujua athari za body supliments powders (proteins) kama BSN mass gainer na ipo inafaa kwa watu wembamba ambao hawana mafuta kabisa wanatka kujenga mwili hasa sehemu za kifua na mipaja hadi miguuni
 
Back
Top Bottom