NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

Kwa hio unamshauri aulipie utamu wake mwenyewe la sivyo ajiandae kisaikolojia, [emoji23]
Yeye kashasema hatoi pesa, akikutana na wasioelewa bila kuwapa pesa atapambana nao huko huko.
 
Wanaumeee!
Acheni kutoa pesa kirahisi kwa wanawake. Wanawaona mapimbi tu mkiwapa pesa.
Penzi huja automatically, halinunuliki. Unaweza kupewa mpaka maku lakini hupendwi, just unaonjeshwa tu utelezi ili akuchune zaidi.
Wanaume wengi waliodhani wanapendwa kumbe wanauliwa baadaye hufilisika na ndipo hujikuta hawana mpenzi, wanabaki kama mazuzu.
Ukiwa bahili ndio unakuwa mwanaume wa kweli. Pesa ngumu. Unaipata kwa shida halafu anatokea mtu anakubania pua unampa buku, buku 2 mpaka laki moja.
Siku mirija ya fedha ikifungwa ndipo utajiona wewe ni boya.
Nakuombea ufulie wewe mjinga unayewanyima wazazi wako fedha kisha unaenda kununua utamu ambao kiasili uko ndani yako.
Amka, unayalaani maisha yako wewe mwenyewe.
Chukua hata 50 ambayo unaiunguza siku moja kwenye starehe mtumie yule shangazi yako aliye kijijini uone maombi atakayokumiminia.
Malaya mmoja juzi anasema nikafanye naye mkesha kisha nimpe 80. Nikamwambia nakupa 60 akasema nimpe 100 maana anataka aongezee 100 akanunue smart phone.
Yaani nilipomwambia ninampa 60 akajua kuwa nina pesa akabadili gear angani.
Nilimblock nikabaki nacheka mwenyewe.
Raha tupate wote halafu Mimi nitoe pesa.
Hiyo 80 au 100 nikiongeza kuku 6 wakubwa baada ya miezi 6 takuwa nimesonga mbele kwa km ngapi?
Nikihonga tena Mimi mniite......
Haya ka mwenyewe ukihisi hamu Fanya nyeto au katengeneze k ya kuchonga maana wanawake wanahitaji matunzo unaona eh matunzo ndio maana mnafanyana wenyewe Kwa wenyewe maana mnadanganyana sana kipuuzi tuyaani umuite mtu aje geto umnyandue wee halafu aende tu kisenge kwao mshenzi Fulani wewe
 
Mkuu hela kama ipo na unauhakika unakojolea pazuri...
Mkuu we mpe hela tu ndio ulinzi pekee wakufanya mbunye isiguswe na wajinga wajinga
 
Haya ka mwenyewe ukihisi hamu Fanya nyeto au katengeneze k ya kuchonga maana wanawake wanahitaji matunzo unaona eh matunzo ndio maana mnafanyana wenyewe Kwa wenyewe maana mnadanganyana sana kipuuzi tuyaani umuite mtu aje geto umnyandue wee halafu aende tu kisenge kwao mshenzi Fulani wewe
Kwahiyo unauza?
Wewe ni kahaba
 
Unawakataza wenzako kuwapa mabebi zao ukiwa kama nani?

Wenzako wanazo acha wazitumie watakavyo,, wee kaa hapo usubirie tar 24 uanze kuuliza uliza kama kameseji kameonekana.
 
Unawakataza wenzako kuwapa mabebi zao ukiwa kama nani?

Wenzako wanazo acha wazitumie watakavyo,, wee kaa hapo usubirie tar 24 uanze kuuliza uliza kama kameseji kameonekana.
Haaaaha liambie Hilo litahira
 
Unawakataza wenzako kuwapa mabebi zao ukiwa kama nani?

Wenzako wanazo acha wazitumie watakavyo,, wee kaa hapo usubirie tar 24 uanze kuuliza uliza kama kameseji kameonekana.
Na sio kwamba tunazo nyingi ni vi100 vi100 na wachumba wanatulia
 
Back
Top Bottom