NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

NAKAZIA: Acha ujinga, usimpe pesa mwanamke ambaye si mke au mchumba wako

Labda nyinyi, sisi tunaanzia wapi kulia? Sisi hata miaka 10 tunakaa...
Swali nyinyi mnaweza?
Sikiliza mwanaume anaishi bila ya kumhitaji ke Ila ke hawezi ishi bila ya kumhitaji me.
Sie tunatafuta nyie kisa starehe. Ukikaa muda mrefu wewe unazalisha electrons ambazo inabidi Uzi neutralize hata kwa kukumbatiwa. Maumbile unatoa asidi mno unahitaji upate neutralization ya alkaline ili uwe vzuri emotionally na uji behave vizuri. Sie kwenu tunafuata utelezi tu Basi ambao hata kwa soap ama bamia unaoatikana
 
Wanaumeee!
Acheni kutoa pesa kirahisi kwa wanawake. Wanawaona mapimbi tu mkiwapa pesa.
Penzi huja automatically, halinunuliki. Unaweza kupewa mpaka maku lakini hupendwi, just unaonjeshwa tu utelezi ili akuchune zaidi.
Wanaume wengi waliodhani wanapendwa kumbe wanauliwa baadaye hufilisika na ndipo hujikuta hawana mpenzi, wanabaki kama mazuzu.
Ukiwa bahili ndio unakuwa mwanaume wa kweli. Pesa ngumu. Unaipata kwa shida halafu anatokea mtu anakubania pua unampa buku, buku 2 mpaka laki moja.
Siku mirija ya fedha ikifungwa ndipo utajiona wewe ni boya.
Nakuombea ufulie wewe mjinga unayewanyima wazazi wako fedha kisha unaenda kununua utamu ambao kiasili uko ndani yako.
Amka, unayalaani maisha yako wewe mwenyewe.
Chukua hata 50 ambayo unaiunguza siku moja kwenye starehe mtumie yule shangazi yako aliye kijijini uone maombi atakayokumiminia.
Malaya mmoja juzi anasema nikafanye naye mkesha kisha nimpe 80. Nikamwambia nakupa 60 akasema nimpe 100 maana anataka aongezee 100 akanunue smart phone.
Yaani nilipomwambia ninampa 60 akajua kuwa nina pesa akabadili gear angani.
Nilimblock nikabaki nacheka mwenyewe.
Raha tupate wote halafu Mimi nitoe pesa.
Hiyo 80 au 100 nikiongeza kuku 6 wakubwa baada ya miezi 6 takuwa nimesonga mbele kwa km ngapi?
Nikihonga tena Mimi mniite......

Umesema kweli mkuu. Pesa mpatie mzazi wako, mke wako au mtu mwenye uhitaji kweli.

Usipatie gold diggers pesa, wanadhani kwasababu wanamatako makubwa basi wanashahili kupewa pesa hivyo. Tabia chafu sana hiyo.
 
Back
Top Bottom